Ndo tatizo la mawaziri wasiwasi,kweli kwa akili za kawaida hayo anayoyasema anaweza kuyashuhudia hata hapa Dar..? Au labda angetueleza ni ajira za namna gani hizo watu milioni 22 wanazo..,Jitahidini mtoe ajira hata kwa robo ya hao watu na muone impact yake katika nchi...Acheni maigizo fanyeni kazi...