Tanzania inafikiria kununua umeme kutoka Ethiopia

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
Kuna mpango kabambe wa kuwezesha kukua kwa kiwango cha upatikanaji/wingi wa umeme...Ambapo nchi yetu ipo katika majadiliano ya kununua takribani Megawatts 100 kutoka nchi ya Ethiopia

Chini ya mkakati wa EAPP (Mradi wa kuwezesha nchi za Afrika mashariki kushirikiana na mauziano na usambazaji umeme)

Endapo makubaliano yakiafikiwa ,Tanzania itajiunga na DJIBOUTI,SUDAN na KENYA kama mojawapo ya nchi zinazonunua umeme kutoka Kenya.

Maswali
1. Nchi yetu kumbe bado haiji tosherezi kwa umeme..?
2.Habari zote za wingi wa umeme kutoka Stiegler ni propaganda
3.Habari kusema utaanza uza umeme kumbe ni stories za Jaba?
======
Serikali imesema kwamba hakuna uamuzi uliofanywa kuhusu iwapo itaagiza umeme kutoka Ethiopia.

Hii ni licha ya uwepo wa makubaliano ya kanda na uwezekano wa biashara ya umeme kati ya mataifa hayo mawili.

Katibu Mkuu wa Nishati, Felchesmi Mramba, alisema haya kufuatia ripoti kwamba Ethiopia inapanga kuuza umeme kwa Tanzania mwezi huu.

Aliliambia gazeti la The Citizen hivi karibuni kwamba suala hili linatokana na makubaliano ya ujenzi wa njia za kusafirisha umeme chini ya Mradi wa Muunganiko wa Umeme wa Kenya na Tanzania, ambao ulifadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).

Bw. Mramba alisema mradi huo wa muunganiko wa umeme, ambao unalenga kuboresha biashara ya umeme na miundombinu katika Afrika Mashariki, unajumuisha vifungu vinavyoruhusu biashara ya umeme kati ya nchi wanachama kupitia makubaliano ya Eastern African Power Pool (EAPP).

"Kwa kupitia makubaliano haya, nchi wanachama zinaruhusiwa kushiriki katika biashara ya umeme mipakani. Siyo wao tu kutuuzia, lakini pia tunaweza kuuza kwao," alisema.

Kuhusu uwezekano wa Ethiopia kuanza kusambaza umeme kwa Tanzania, Bw. Mramba aliongeza kuwa hakuna uamuzi uliofanywa bado.

"Uwezekano unatokana na makubaliano yetu na AfDB, lakini bado hatujafanya uamuzi wa kuruhusu Ethiopia kusambaza umeme kwa Tanzania."

Bw. Mramba alisema ikiwa uamuzi utafanywa, masharti ya makubaliano yanaruhusu biashara ya hadi megawati 100 za umeme kati ya nchi hizo mbili.

Chanzo cha habari : The citizen
 
Threads zinajirudia sana sikuhizi.

..Magufuli aliwahi kuwaambia wananchi eti Ethiopia itaanza kutumia bandari ya Dsm!! Na wako Watanzania walimuamini.
 
Bandugu nadhani waleta sredi ndiyo wanayakoroga sijui kwa nia ipi. Nilivyosoma kipande cha chini, ni kuwa tunaunganisha grid kati ya nchi na nchi. Hii itasaidia endapo kutakuwa na uhitaji kuuziana umeme. Umeme unaoweza kuuzika au Kupita katika huo mfumo ni kiasi cha maximum megawatt 100.

Uandishi wa habari umekuwa ni kikwazo siku hizi
 
Nani asiyekujua na negativity yako na JPM. JPM alisema tunaweza! Kila kukicha JPM hakauki midomoni kwenu. Ni utoto, ashakufa achana naye. Angaza mbele

..sasa Jpm alisema uongo, au hakusema?

..tunaangazia mbele bila kusahau udhalimu wake ili tusije tukarudia makosa.
 
Kuna mpango kabambe wa kuwezesha kukua kwa kiwango cha upatikanaji/wingi wa umeme...Ambapo nchi yetu ipo katika majadiliano ya kununua takribani Megawatts 100 kutoka nchi ya Ethiopia

Chini ya mkakati wa EAPP (Mradi wa kuwezesha nchi za Afrika mashariki kushirikiana na mauziano na usambazaji umeme)

Endapo makubaliano yakiafikiwa ,Tanzania itajiunga na DJIBOUTI,SUDAN na KENYA kama mojawapo ya nchi zinazonunua umeme kutoka Kenya.

Maswali
1. Nchi yetu kumbe bado haiji tosherezi kwa umeme..?
2.Habari zote za wingi wa umeme kutoka Stiegler ni propaganda
3.Habari kusema utaanza uza umeme kumbe ni stories za Jaba?
======
Serikali imesema kwamba hakuna uamuzi uliofanywa kuhusu iwapo itaagiza umeme kutoka Ethiopia.

Hii ni licha ya uwepo wa makubaliano ya kanda na uwezekano wa biashara ya umeme kati ya mataifa hayo mawili.

Katibu Mkuu wa Nishati, Felchesmi Mramba, alisema haya kufuatia ripoti kwamba Ethiopia inapanga kuuza umeme kwa Tanzania mwezi huu.

Aliliambia gazeti la The Citizen hivi karibuni kwamba suala hili linatokana na makubaliano ya ujenzi wa njia za kusafirisha umeme chini ya Mradi wa Muunganiko wa Umeme wa Kenya na Tanzania, ambao ulifadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).

Bw. Mramba alisema mradi huo wa muunganiko wa umeme, ambao unalenga kuboresha biashara ya umeme na miundombinu katika Afrika Mashariki, unajumuisha vifungu vinavyoruhusu biashara ya umeme kati ya nchi wanachama kupitia makubaliano ya Eastern African Power Pool (EAPP).

"Kwa kupitia makubaliano haya, nchi wanachama zinaruhusiwa kushiriki katika biashara ya umeme mipakani. Siyo wao tu kutuuzia, lakini pia tunaweza kuuza kwao," alisema.

Kuhusu uwezekano wa Ethiopia kuanza kusambaza umeme kwa Tanzania, Bw. Mramba aliongeza kuwa hakuna uamuzi uliofanywa bado.

"Uwezekano unatokana na makubaliano yetu na AfDB, lakini bado hatujafanya uamuzi wa kuruhusu Ethiopia kusambaza umeme kwa Tanzania."

Bw. Mramba alisema ikiwa uamuzi utafanywa, masharti ya makubaliano yanaruhusu biashara ya hadi megawati 100 za umeme kati ya nchi hizo mbili.

Chanzo cha habari : The citizen
Sasa bwawa la nyerere la nini?
Hapa wajomba wanatafuta namna ya kupiga pesa ya uchaguzi, watakwambia tunanunua kila unit buku, kumbe 800 nzima inaenda kwenye makalio ya ccm, ili kuibia uchaguzi
 
Makalio tena
 
Bandugu nadhani waleta sredi ndiyo wanayakoroga sijui kwa nia ipi. Nilivyosoma kipande cha chini, ni kuwa tunaunganisha grid kati ya nchi na nchi. Hii itasaidia endapo kutakuwa na uhitaji kuuziana umeme. Umeme unaoweza kuuzika au Kupita katika huo mfumo ni kiasi cha maximum megawatt 100.

Uandishi wa habari umekuwa ni kikwazo siku hizi
Kasome tena kwenye Link and uje...
 
Back
Top Bottom