Tanzania inahitaji chama mbadala

Juaangavu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2009
Posts
935
Reaction score
132
Wadau, Tanzania yetu ilipofika inahitaji chama mbadala, tofauti kabisa na hiki kilichotudondosha mikononi mwa mafisadi. Dukuduku langu linakuwa ni kipi hasa kitakachotumia udhaifu wa viongozi wa hili chama letu la mafisadi, ili kuweza kuwanusuru watanzania wanaokata tamaa kila kunapokucha.
Mazingaombwe si mazingaombwe, Maigizo si maigizo ili mradi ni mazonge kila mahali. Mola hatuepushe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…