Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Kama umelipitia vyema andiko hili kuna mahali nimeandika Rais anahitaji ushirikiano na wanataaluma na siyo kuupambana peke yake.Moja ya kiashiria cha maendeleo ni kuongezeka kwa kwa mawasiliano kirahisi kwa iyo kwa utafiti huo unaweza kuwa wako sahihi kusema ivyo ingawa vipo na viashiria vingine vingi kama kuongezeka kwa umri wa kuishi,kupungua vifo vya watoto na wamama wajawazito, kipato cha mtu kwa Siku,upatikanaji wa huduma za afya kiukaribu,
Kwa nchi yetu tunapo elekea ni pazuri kikubwa tufanye kazi porojo nyingi hazitatufikisha popote
Kwangu mimi Rais wetu wa sasa anatupeleka mahali salama tuvumiliane