Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Hivi ndivyo mkoloni alivyofanya,aliiba maliasili za Tanzania na kuzipeleka kwao Ulaya,sasa hivi Watanzania tunafanya wenyewe,tunaiibia Tanzania tunapeleka Ulaya,mambo kidigitally mzungu katulia tu Ulaya,wabongo wanaaiibia nchi yao wanapeleka Ulaya,kwa ufupi Tanzania inaibiwa 70% ya mtaji wake,maliasili na fedha zinapelekwa Ulaya,Asia na Uarabuni.
Tatizo sio uraia pacha bali ni wenye dhamana yakuongoza nchi ndio walioshindwa.ata nchi zongine majizi yapo lakini yanadhibitiwa na mamlaka zilizoko.Kwa huu Wizi bado hatujaruhusu Uraia pacha. Kwa tabia zetu siku tukiruhusu Uraia Pacha tutakwisha tutaiba mpaka vumbi.
Acha waibe tu mwisho wake watagoo tu !!Acha waibe
Ova
Ukiiamisha ile federal reserve ya marekani ndani ya miezi 9 kutakuwa na uhaba wa dollar. Kichaka cha kuongeza export kitakuwa hakipo tena .naunga mkono hojaHivi ndivyo mkoloni alivyofanya,aliiba maliasili za Tanzania na kuzipeleka kwao Ulaya,sasa hivi Watanzania tunafanya wenyewe,tunaiibia Tanzania tunapeleka Ulaya,mambo kidigitally mzungu katulia tu Ulaya,wabongo wanaaiibia nchi yao wanapeleka Ulaya,kwa ufupi Tanzania inaibiwa 70% ya mtaji wake,maliasili na fedha zinapelekwa Ulaya,Asia na Uarabuni.