#COVID19 Tanzania inajipima mabavu dhidi ya Covid-19; yupi atakuwa wa kwanza kusalimu amri?

Si kweli kwamba Tz hakuna corona ipo na inaua! akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Na Sijui wao wanataka serikali ifanye nini ikiwa Corona ipo nchini.

Unadhani serikali ikiamua kuweka lockdown Kuna mtu atapelekewa chakula kwake?

Tutakao umia Ni sisi sio serikali.

Kwa hiyo tuwe makini na tunachokiomba.
Badala ya kumuomba Mungu atuepushe na hili balaa Kuna watu Ni Kama wanaombea
 
Hapo sasa huyu raisiwetu asilaumiwe huyu yeye sawa na Malaika hata akikosea tuseme watendaji wanamuangusha,sio yeye kama hawaoni kajenga barabara ya juu raisi gani Africa kafanya hivi.
 
Yaani watu sijui wanawazaga nini. I wish hata wakieleweshwa waelewe ila wagumuuu
ID yako inapoteza watu.... una akili sana wewe sio mjinga😅😅
 
Hata hizo hizo nchi walizokubali ugonjwa upo pia hawaonekani wagonjwa ni taarifa toka kwa madaktari tu.
 
hapo abu dhabi na dubai hali ikoje ya kikazi mkuu
 
Tatizo ni ushamba na ulimbukeni wa viongozi waandamizi tena wa awamu hii ya mitano tena
Walio kwenye lockdown ndio wamejaa Tanzania wamekimbia ghiliba za kufungiwa kama kuku. Tusidanganyane hapa Corona Virus ataondoka kwa Amri ya Bill Gates. Dawa pekee ni kujenga natural immunity kwanza. Haya mambo mengine yanakuja kama msaada baadae. Tukijifungia ndani tutakufa kama kuku. Kwa njaa, stress na covid yenyewe
 
Haitawezekana kusafiri nje bila kuwa na hiyo chanjo
 


Nasikia Watanzania wengi diaspora walioenda likizo kwasababu ya ticket kuwa bei nafuu wengine wamepeleka ugojwa. Yaani imefika wakati wa kudanganyana kama watoto kuna msanii kafariki kijana wanasema eti pneumonia/ limonia na kaumwa wiki mbili tu! sasa ni kijana gani anaumwa limonia wiki mbili mpaka imuue kama sio Corona!. Corona ndiyo inasababisha liminia. limonia ni hali sio ugojwa. Vilevile kaangalie vijana wangapi mwaka jana wamekufa kwa limonia !!
 
Sisi tunapokea watalii kwa wingi, wala hatuna muda wa kuwapima tunawaacha wakacoronize
Your browser is not able to display this video.
 
hapo abu dhabi na dubai hali ikoje ya kikazi mkuu
Kwa kweli sio nzuri hili janga la Corona limeleta balaa kila sehemu ndio maana wanakimbiza chanjo huku kwa speed sababu dunia inategemeana, nadhani kwa maoni yangu uchumi utaanza kuboreka katika quarter ya 4 labda itategemea na hili janga litatupeleka wapi ila kiukweli athari zake ni kubwa.
 
sawa sawa mkuu asante kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…