Tanzania inamuhitaji Jaoa De Havelange katika soka, Jamal Malinzi ni chaguo sahihi.

Tz kila sekta ni mbovu kutokana na kutowapa nafasi watu wanaoweza na ambao umma unawahitaji badala yake wanaletwa wale ambao matokeo yake ni hapa tulipo,nchi imedumbukia shimoni na bado tunawabeba watu kama Nyamlani
 
Lamgambo limelia lazima tusimame wima kuhakikisha kuwa tunampata kipngozi thabiti katika soka letu,

Jamal Malinzi ni suluhishp la soka letj
 
Hahaa Le Mtuz kaja na umbeya wa Nyamlani amfunika Malinzi, lakini haonyeshi wapi amemfunika,

Le Mtuz, siasa huwezi lakini hata siasa za michezo nazo huwezi?
 
Acheni propaganda ,soka sio siasa kwa kigezo gani unaweza kumlinganisha Jamal Malinzi na Joao Havelange?
Aliyofanya Havelange, Malinzi hata 10% hajafanya
 
Kelele zetu azisaidi kitu wanaochaguwa watu wengine kabisa tena hawafiki mia nachojua kanda ya ziwa yote wanamtaka malinzi ilo halina ubishi lkn malinzi co chaguo la top tff management hata fifa so uchaguzi unaweza kurudiwa
 
Acheni propaganda ,soka sio siasa kwa kigezo gani unaweza kumlinganisha Jamal Malinzi na Joao Havelange?
Aliyofanya Havelange, Malinzi hata 10% hajafanya

Hizo kumi ndio tunazipigania azifanye Malinzi kwa soka letu
 
Usilete propaganda za siasa kwenye michezo nina mashaka kama unamjua vizuri

Inawezekana mchezo wa soka huujui mkuu,

Hujui kuwa kwenye soka ndiko siasa ya kweli ipo?

Malinzi ni mwarobaini wa soka letu
 
Malinzi amefanya nini kwenye soka before hizi ni njaa tu za pesa
 
I strong support Jamal Malinzi. Nukta.

Nyamlani akaendelee kula pesa za rushwa mahakama ya kinondoni. Hakimu mla rushwa hafai kabisa kuruhusiwa hata kukanyaga ofisi za TFF.
Mkuu Matola,

Kwanza nikujulie hali kwa mapumziko haya ya juma,

Mkuu tuache yote tusimame kwenye ukweli,

Nyamlani ni janga jingine linalotaka kujichimbia tff,

Naiomba mizimu ya mababu zangu na ukoo wangu wote chini ya muongozo wa Jah nataka Jamal Malinzi ashinde na aongoze tff
 
Malinzi kajitahidi sana na anafaa. Kwa aliyoyafanya na kutuwekea misingi naamini tukienda hivi tutapiga hatua. Mpira ni sayansi
 
Malinzi akagombee uenyekiti kagera fc..hata afanyeje hashindi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…