ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Yaani ukiwasililiza Machadema wanavyoropoka na kupayuka huko kuhusu kile wanaita Rasilimali za Nchi unaweza dhani labda sisi hapa Tanzania tunapata hasara au hatupati kitu kuliko Nchi zingine za Afrika.
Mara nyingi wamekuwa wanatolea mfano Nchi za Botswana na Namibia kwamba zinanufaika sana na Madini Yao lakini Kiuhalisia unakuwaga ni uzushi na ujinga.
Just Imagine Botswana eti Leo hii ndio wanatafuta kuwa na 30% ya Mauzo ya Madini Yao ya Diamond ambapo Kwa miaka mingi sana walikuwa na 25% vs 75% ya Wawekezaji.
Hii Botswana ni mfano mmja tuu wa Nchi ambazo tumezipiga Bado Kwa kuwa na sheria na sera nzuri za Madini maana sisi Tanzania tumeenda mbali zaidi Yao na kuwataka wawe wanatoa CSR,kuzingatia sheria ya local content na kutoa service levy apart from Kodi na mrahaba.
My Take
🇹🇿 Ni Mwalimu wa wengi hapa Afrika ,wale ropo ropo wawe wanatafuta taarifa kabla ya kuropoka Botswana, the country with the biggest diamonds, gets an improved 10-year deal with miner De Beers