Tanzania inatajwa kuwa na uchumi bora

Tanzania inatajwa kuwa na uchumi bora

Mpiga pich amedahau uonyesha daraja la ubungo
 
Hamna kitu Tanzania nchi ya tano kwa umaskin barani Africa hio takwimu umeitoa nyumbani kwako
 
Inatajwa na nani? Sisi hatuhitaji kuambiwa na watu wengine, tunajionea wenyewe.
 
Nani anaitaja? Na kwa nini msubiri kutajwa, kwani hali zenu hamzijui mpaka msubiri kutathminiwa?
 
Waliotuita watu weusi manyani sijui waliwaza nini,ila ukitafakari kea umakini ukaweka chuki pembeni utagundua Ni kweli.

Sidhani Kama ishu ya utajiri na umasikini wa Africa tunahitaji uchambuzi kutoka kwa watu weupe kwamba eti Tanzania ni nchi tajiri wakati % zaidi ya 80 hawawezi kuafford Milo mitatu achana na afya Bora,malazi na mavazi.Hawa watu ukiwaambia tupo kwenye top ten ya nchi tajiri Africaa watacheka Sana.

Tunatia huruma.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom