Tanzania inatakiwa iuze unga wa mahindi nje ya nchi, ni muda muafaka Sasa kulisimamia hilo tusililie kupeleka mahindi Kenya

Ushauri unaimiza sana huu.
 
Kaka mbona mahindi huwa yanauzwa huko, kuna wakati huwa nashinda hapa national milling company nmc iringa sometimes huwa wanapakia had semi 15 kwa siku na zote huwa zinabeba unga zinapeleka Sudan ....no fact no right to speak buraza
 
Kaka mbona mahindi huwa yanauzwa huko, kuna wakati huwa nashinda hapa national milling company nmc iringa sometimes huwa wanapakia had semi 15 kwa siku na zote huwa zinabeba unga zinapeleka Sudan ....no fact no right to speak buraza
Post #10 imefafanua vizuri Hili Jambo ipitie uitafakari vizuri
 
Nchi nyingine hasa zilizoendelea ndio wakali kweli kuhusu aflatoxins, uliza watu walijaribu kusafirisha karanga, korosho, au ngano .....badala ya kufikiri tunaonewa tungetatua changamoto ya hii sumu kuvu ...tuelimishe wakulima jinsi ya kuhifadhi mazao ya nafaka maghalani.
 
Aisee ugali kula wa mahindi uliolima mwenyewe ila wa kununua kwa mangi utakufa na saratani
Ngoja nitaanza kuwasiliana na home wanitumie kwa basi.

Nakumbuka nimetoka bush mara ya kwanza nakuja town, nilishangazwa sana nilipoenda dukani. Nilikuta WANAUZA UNGA WA UGALI. Dah home IR yaani uuze unga wa ugali wakati kila mtu analima dah. Labda Iringa town.
 
Mwaka huu mbeya watakoma. Mahindi yamekubali soko hakuna ili yasibunguliwe na dumuzi itabidi yapigwe sumu ya kutosha yakiwa ghalani kwa muda usiojulikana.piga ALUMINUM PHOS.
 
Habari Mkuu kumbuka sumu inayozungumziwa na kuleta joto la zuio la mahindi ya Tanzania siyo hizo unazosema wewe.
sumu inayotajwa ni "mycotoxins"inayotokana na ukungu unaosababishwa na kuvu (fungi)..sumu hiyo huweza kupenya hata sehemu za ndani za nafaka.

Madhara ya sumu hiyo ni kwamba inaweza kuua, na pia inaweza kusababisha magonjwa mfano saratani na udhohofu wa kinga ya mwili.
Ushauri ulioutoa ni mzuri lakini suala la uchambuaji wa nafaka kabla ya kuzihifadhi na uhifadhi mzuri wa nafaka ni masuala ya muhimu zaidi kupambana na kuvu.

Naambatanisha picha za mahindi yaliyoshambuliwa na kuvu hapa chini.
 

Attachments

  • download.jpeg
    9.6 KB · Views: 1
  • download (1).jpeg
    8.7 KB · Views: 2
  • download (6).jpeg
    8.2 KB · Views: 3
  • download (7).jpeg
    9.4 KB · Views: 3
  • download (8).jpeg
    9.4 KB · Views: 3
Mahindi yanauzwa hata na Marekani, bado soko la mahindi ni kubwa kuliko soko la unga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…