Tanzania inatia aibu katika medani za Tehama, tumekosa hata special school moja ya kuwapiga tafu watoto kwenye elimu ya computer ?

Hawayatoi ila watoto huchagua kasoro history ambayo haisomwi kabisa (ni msingi wa masomo ya arts)

Mfano after form two some kids huchagua between biology au geography na huenda nayo hadi form four,,, and by the way ni technical schools ziko hvo,, other than that hakuna shule inayo specialise na kutoa masomo mengine nevaaa
 
Asante kwa kuelewa, Na ndio maana nilishasema tangu mwanzoni shule zinazohusika ni special schools kama hizo technical
 
Ni kweli unvyosema sema
1 .Nchi yetu wengi wanategemea kuajiriwa na hi tasnia ya teham haija komaa kama unakumbuka kipindi cha JK wengi walikimbila kusom computer science sasa hv n jobless couse ynyew wanaitumia kam kuanzisha stationery mtaan.
2. Mtazamo wa wazazi , "ukisoma omputer unakua nani" inabaki kuw kam side husle
3. Kama 4G yenyew ni shida computer mashulen tutaweza?
4. Wasom walioenda nje kusoma computer course huwa hawarudi hawaomini fursa ten bongo.

4. Nchi yetu bila hajira hautoboi. Tuseme ulisoma tehama Aya ma bundle yenyewe sio rafiki

Wa nigeria wanasoma tehama wanajiajiri kuw ma hacher. Bongo uta mu hack nani? Kifup nchi haisapoti haya mambo

Napita tu.......
 
Hii nchi hapana ndio nchi yetu ila inachoshaa mno kuna katabia sahivi watumishi hasa hawa wa .com wanavikampuni basi kila tender wanajirushia kwenye kampuni zao hutoboi..

Na hii tabia wamecopy kwa wanasiasa hii tz hakuna mwanasiasa mbunge ambaye hana kampuni wote wanagombnia tender za barabara, tehama sijui za afya na maji yaani.

Automatic mfumo tulionao unauwa vipaji starting company za vijana.

Sababu hata uje na kitu kinzuri wenzako wanabeba wanapitishia kampuni yao mambo yanaenda.

Na wakiona hawataweza kuiga wanaki ignore basi ndio kilichomkuta Fernandes..na kinawakuta vijana wengi sana.
 
Mimi ninavyojua kuna misaada mingi sana wanatoa wazungu kwa Africa na nchi zingine zenye uhitaji

Sisi pia tunapata ila wizi umekithiri yaani wanatamani hata wakipata mtu wa kuinunua nchi wwngeiuza

Laana hii haitaisha
 
Ki
KIla mtu anajali. Tumbo lake kwanza
Utasikia mjengoni tozotozo. Wakati hela zao zpo kwenye blockchain (cryptocurrency) hazigusi mtu
 
Nala ukisoma online unaambiwa kampuni ya TZ, kutafuta HQ iko Kenya, na wametangaza watainvest $ millions Kenya, nikajua tu "nchi hii ngumu" yamewakuta 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…