Tanzania inauhitaji ushiriki wake AFCON kuliko hizi siasa za miaka ya sasa

Stars itafuzu Afcon 2019 ili nyie hater's muumbuke!
 
Kutafuta Political mileage ndio imewaudhi watanzania hadi wanadiriki kusema timu ipoteze.
 
Kutafuta Political mileage ndio imewaudhi watanzania hadi wanadiriki kusema timu ipoteze.
mambo yote yanayowanganisha wananchi wote ukishaanza kuingiza siasa tu jua umeshatengeneza matabaka!!kipindi cha nyuma kwenye hizo sijui kamati za amshaamsha walikuwa wanachukua watu ambao sio watafuta sifa ki vile,kuna kipindi nakumbuka hata zitto alikuwepo kwenye ile kamati na wengine wa ccm,ila hawakuwa waningiza siasa ki vile!!ila sasa HILI LA SASA ,wewe subili labda itokee tufungwe ndio utaona kumbe wengi walikuwa ni wanafiki tu!!!na unaweza kukuta kesho yale madela ya rangi ya mboga mboga yakawa mengi uwanjani!!kwani wal ni wazee wa kudandia mambo
 
hiv hili kundi sijalielewa bado, imekuaje lesotho akawa nafasi ya pili

maana naona kafungwa magori saba
na sisi tumefungwa matano,

magoli yakushinda wote tunayo matatu

hebu mwenye ufafanuzi hapo aise


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiv hili kundi sijalielewa bado, imekuaje lesotho akawa nafasi ya pili

maana naona kafungwa magori saba
na sisi tumefungwa matano,

magoli yakushinda wote tunayo matatu

hebu mwenye ufafanuzi hapo aise


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni head to head Kati yetu na Lesotho, Lesotho alitoa draw ya goalless hapa na kwao wakatupiga kimoja. So yeye yupo juu yetu hata tukilingana point na magoli yeye ana advantage kubwa dhidi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…