Wewe pimbi unaona $400 kama pesa ndogo, utakuta ni umeajiriwa na wahindi Kisutu halafu unaishi chumba cha kupanga Buguruni Kwa MnyamaniJaribu kuficha umaskini wako sio kila mtu anaona $400 ni kubwa
Kama unaliwa ni wewe na nyie ndiyo mawakala wa LGBTIQ maana mnapewa fedha nyingi ili mje msambaze vilainishi vya *******Acha kupenda kuliwa ubwabwa wewe. Kwa hiyo hizi gharama za chumba cha USD 400 per night, ziliwekwa kwa ajili ya akina nani sasa ? Wakati hizo hela apa bongo wapo watu wanaweza kumudu kulala hata kwa siku 4.
Mpaka ninayasema haya nimeyafanyia kazi. Naomba ufungue hii link halafu urudi hapa:-If someone travels to support a fellow activist like Tundu Lissu in court, it doesn’t automatically mean there’s a hidden LGBTIQ agenda behind it.
ukisema kila anayetetea haki ana ajenda fiche, tunatengeneza mazingira ya woga na kuua uhuru wa kusema. That is how authoritarianism creeps in—by labeling dissent as foreign-influenced or evil.
suala la usafiri wa Business Class au kulala hotelini kwa gharama ya juu si hoja yenye uzito wa kimaadili kama hakuna ushahidi kuwa fedha hizo zimetoka kwa njia ya kifisadi au kwa matumizi yasiyo halali. Kuna watu wengi wanaofadhiliwa kisheria au kwa misingi ya kazi zao. Hii siyo sababu ya kupunguza uhalali wa hoja zao.
Kuwapinga watu kama Boniface Mwangi na Agatha Athuhire kwa tuhuma zisizo na ushahidi ni kushindwa kwa hoja. Tujikite kwenye substance ya wanachosema badala ya kuangalia nani kawatuma au walilala wapi. Mbona viongozi wetu wanalala hotels za $1000 per night bila hata kuwajibika kwa wananchi, hatulalamiki?
Waanze wao kushitaki halafu tukutane Mahakamaniuliyoyasema hayahalalishi kuteswa na kudhulumiwa kingono
kama mha hoja si mna mahakama zenu, muwashitaki!
na wameshasema wanawashitaki na hadi ICC mama yenu atashtakiwaWaanze wao kushitaki halafu tukutane Mahakamani
Kwani wewe unazo akili? Au kichwa chako ni bustani ya nywele?Hii aina ya reasoning ni hatari sana! Critical thinking is thinking about one's own thinking!
Acha ulofa wewe sio kila mtu ni muajiriwa kama wewe mavi , hiyo laki 9 ni yakuhongea mke wako yule muuza mbususuWewe pimbi unaona $400 kama pesa ndogo, utakuta ni umeajiriwa na wahindi Kisutu halafu unaishi chumba cha kupanga Buguruni Kwa Mnyamani
Tungekosea sisi Ruto asingeomba msamaha dhidi ya wale wakora kutoka Kenya. Msikilize hapa William RutoNyie wajinga mmoja mmoja ndiyo mnaharibu hili Taifa Kila kitu Kiko wazi usikute nyie ndiyo mnamdanganya Mama wa watu,Kila binadamu anakosea ukijua Kuna sehemu umekosea ni rahisi kusahihisha,Mama hao inner Circle yako anza kuwaza tofauti jinsi ulivyokuwa unawaona mwanzo.
Nimefanya facts check kwa kutumia various platformHatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.
Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??
Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Mbona hushangai wazungu wanatoka America kuja bongo kwa ajili ya kumuona Nyani Mikumi?Mataifa gani hayo unayoyaogopa? Haya yanayofadhili shughuli za ushoga?
Kuja kusikiliza kesi ya Tundu tu? Are you okay kwenye brain yako?
Aibu sana!Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha!
Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo.
Habari za Agatha na Boniface kuteswa kingono zimeshavuka mipaka ya Tanzania.
Sifa ya nchi ishachafuka na watawala wamekuwa mabubu!
Leo tumezungumziwa hivi na Firstpost:
==============
Wanaharakati wawili kutoka Kenya na Uganda wameibuka hadharani wakitoa madai ya kusikitisha kuhusu ukatili wa kingono waliodai kufanyiwa walipokuwa kizuizini jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wanasema walikamatwa baada ya kuonyesha uungwaji mkono kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya uhaini.
Kwa mujibu wa wanaharakati hao, walitekwa kutoka katika vyumba vyao vya hoteli, wakawekwa chini ya ulinzi mkali, na kuhojiwa kwa muda mrefu huku wakikumbana na vipigo na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa maafisa wa usalama wa Tanzania. Maelezo yao yanatisha na yanaonyesha hali ya kuvunjwa kwa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa unaozidi kushika kasi kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
View attachment 3354924
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu gentleman, hizo porojo nyingine mdeal nazo wenyewe 🐒Unajifanya mzalendo wa keyboard ilhali akili yako imeparaganyika kama network ya Airtel usiku wa mvua. ,,Unasikitisha.!
Kumbe mifukara mingi imekimbilia kwenye uchawa Sasa $400 ni pesa ya kuongea mbele ya WanaumeWewe pimbi unaona $400 kama pesa ndogo, utakuta ni umeajiriwa na wahindi Kisutu halafu unaishi chumba cha kupanga Buguruni Kwa Mnyamani
Bado hakuhalalishi vitendo vya Samia kutuma vibaka wake wateke,walawiti na waue watu.Wakati enzi zile yule bwana alifanya mambo yanayofanana kama hayo na wewe ulikuwa mstari wa mbele ukisema ananyosha nchi na victims mliwaita wajinga na wamejitakia.
Sometimes haya mambo bwana mpaka yakukute ndio utaelewa.
Tokea nchi ipate uhuru hatujawahi kuwa utawala wa kikatili kama huu, kibibi hiki kinafanya ukatiki huku kikiiba mali za nchi na hakifanyi maendeleo yoyote.Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha!
Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo.
Habari za Agatha na Boniface kuteswa kingono zimeshavuka mipaka ya Tanzania.
Sifa ya nchi ishachafuka na watawala wamekuwa mabubu!
Leo tumezungumziwa hivi na Firstpost:
==============
Wanaharakati wawili kutoka Kenya na Uganda wameibuka hadharani wakitoa madai ya kusikitisha kuhusu ukatili wa kingono waliodai kufanyiwa walipokuwa kizuizini jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wanasema walikamatwa baada ya kuonyesha uungwaji mkono kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya uhaini.
Kwa mujibu wa wanaharakati hao, walitekwa kutoka katika vyumba vyao vya hoteli, wakawekwa chini ya ulinzi mkali, na kuhojiwa kwa muda mrefu huku wakikumbana na vipigo na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa maafisa wa usalama wa Tanzania. Maelezo yao yanatisha na yanaonyesha hali ya kuvunjwa kwa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa unaozidi kushika kasi kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
View attachment 3354924
Kuishi baada ya janga si ushahidi kuwa hakuna janga lililotokea. Unyanyasaji wa kingono huacha majeraha ya ndani yasiyoonekana kwa macho, na maumivu yake hayawezi kupimwa kwa hali ya mtu kurudi nyumbani salama.
Argue, don't attack, please!Kwani wewe unazo akili? Au kichwa chako ni bustani ya nywele?
Cheap and pathetic excuse, Lissu hao ni wenzake(lawyers and activists) na hizo 400$ wewe mganga ndiyo unaona nyingi. Caliber ya hao hakuna wa kushindwa gharama hizo, wewe endelea kunywa chai ya rangi na mandazi huku ukidhani watu wote wanaishi hiyo standard yako.Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.
Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??
Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
Hapo ndipo na mimi nilipomshangaa, 400$ anaona nyingi, hii ni type ya machafuchafu wa Uswahilini.Kumbe mifukara mingi imekumbilia kwenye uchawa Sasa $400 ni pesa ya kuongea mbele ya Wanaume
Halijielewi HiloHapo ndipo na mimi nilipomshangaa, 400$ anaona nyingi, hii ni type ya machafuchafu wa Uswahilini.