Tanzania inazidi kuchafuka kimataifa!!

Mama anaupiga mwingi sana.
 
Bado bado, inabidi zifume sanaaa zaidi ya hapa.......polisi wakoleze moto zaidi *****. Yani huu mwaka tunataka mpaka yule bimdala aone kiti kichungu
 
Kabendera ameeleza katika kitabu chake pendwa kuwa magu ametoa 10 mil na kumfyatua saa nane ikulu ambapo mnaita wenyewe mahala matakatifu mungu wako magufuli ameuwa ndani ya ikulu.. samia na ukatili wake hajawahi kuinajisi ikulu mazeee.
 
na wameshasema wanawashitaki na hadi ICC mama yenu atashtakiwa
Labda ICC ya Kibera
Labda mumechafuka nyinyi wa mapenzi ya jinsia moja
 
TANGANYIKA YETU IMEBEMENDWA TENA IMEBEMENDWA KATIKA UMRI MDOGO MPAKA LEO HAIJAWEZA KUSIMAMA/KUJISIMAMIA
 
Tanzania sio nchi ya amani tena Tanzania ni nchi iliyojaa damu,dhulma na mateso.Atavuna alichopanda anajitengenezea anguko lake mwenyewe.
 
Use your common sense dude, mbona ameomba msamaha kwa Gen Z wao huko Kenya.
Hii ilikuwa ni general kwa wote ambao kwa namna moja au nyingine amewakwaza and this includes Tanzania, Uganda and Kenyan Gen Z, sasa Wabongo msivyokuwa na akili mnalichukua kitofauti kabisa just to please your wishful thoughts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…