Funa the Wild
Senior Member
- Aug 1, 2022
- 174
- 288
Ngorongoro sio hifadhi ya taifa (National park) ni conservation area (Ngorongoro conservation area)So Ngorongoro na Mikumi hazifui dafu mbele ya Liwonde ya Malawi๐คง
Nashukuru mkuu. Ungeweka na bei kwa kila tripu.Hii ni orodha ya hifadhi bora barani Africa
(9 Best National Parks in Africa)
1. Serengeti National Park - Tanzania ๐น๐ฟ
2.Masai Mara National Reserve - Kenya ๐ฐ๐ช
3. Chobe National Park - Botswana ๐ง๐ผ
4. Kruger National Park - South Africa ๐ฟ๐ฆ
6. Etosha National Park - Namibia๐ณ๐ฆ
South LuangwaNational Park - Zambia ๐ฟ๐ฒ
7. Hwange National Park - Zimbabwe ๐ฟ๐ผ
8. Queen Elizabeth National Park - Uganda ๐บ๐ฌ
9. Liwonde National Park - Malawi ๐ฒ๐ผ
Kwa huduma za Safari za kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania Cheki nami +255622174613
Na mikumi jeNgorongoro sio hifadhi ya taifa (National park) ni conservation area (Ngorongoro conservation area)
Bei huwa zinapangwa kulingana na idadi ya watu mliopo na idadi ya siku mnazohitaji kufanya safari na eneo husika mnalohitaji kutembelea.. KaribuNashukuru mkuu. Ungeweka na bei kwa kila tripu.
Mikumi ni hifadhi ya taifa na ni hifadhi bora lakini orodha hii imechukua zile hifadhi ambazo zinafanya vizuri zaidi kwa Afrika.Na mikumi je
๐๐๐Bei huwa zinapangwa kulingana na idadi ya watu mliopo na idadi ya siku mnazohitaji kufanya safari na eneo husika mnalohitaji kutembelea.. Karibu