Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Mambo vp jamiiforums.
Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee (bila kutuma pesa) zinatosha sana.
==========
==========
Juhudi za kimataifa zinaendelea katika kujaribu kuisaidia India wakati nchi hiyo inakabiliwa na uhaba mkubwa sana wa oksijeni baada ya kuongezeka kwa visa vya Covid.
Uingereza imeanza kutuma vifaa vya kusaidia kupumua na vifaa vya kusaidia kutengeneza oksijeni. Nchi wanachama wa EU pia wanajiandaa kutuma misaada.
Marekani imekwisha aondoa marufuku ya kutuma malighafi nje ya mipaka yake, hivyo kuiwezesha India kutengeneza chanjo zaidi ya AstraZeneca. Delhi mji mkuu wa India umeongeza muda wake wa katazo la watu kutoka nje (lockdown) wakati huo hospitali zilizojaa utitiri wa watu zinaendelea kuwarudisha wagonjwa makwao.
Aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Dr. JPM siku alipokutana na rafiki yake Waziri Mkuu wa India.
==========
==========
Serikali ya Urusi imeidhinisha mipango ya kutuma mitambo zaidi ya 500 ya uzalishaji wa oksijeni kwenda India ili kuongeza vifaa. India iliripoti visa 349,691 zaidi katika muda wa saa 24 hadi Jumapili asubuhi (April 25, 2021) na vifo vingine 2,767, hata hivyo takwimu za kweli zinafikiriwa kuwa kubwa zaidi.
Alipofariki mume wa malkia wa Uingereza Prince Philip, tulijitahidi sana kwa kuwapa pole ndugu zetu wa Uingereza. Pongeze sana kwa Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan pamoja na timu yake.
==========
==========
SWALI: Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa nchini India? Hata salamu za pole pekee?
==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.