Tanzania inflation rises on food, fuel prices, heading to double digits?


Kambarage!!

Wa TZ kazi hawafanyi "wanaikalia tu politike" hivi JK peke yake ataweza kubadilisha maisha ya kila mtanzania? kumbukeni miaka ya 80 uchumi wa bongo ulikua mzuri tu wakaja jamaa wa IMF wakamrubuni Mzee mmoja anaitwa E. Mtei (former Governor wa BOT, mzazi na muasisi wa CHADEMA) ashushe dhamaini shilingi ya bongo Mchonga akagoma E. Mtei akajiuzulu na kukumbilia huko huko IMF, akafanya hila zake huko huko IMF shilingi ikaporormoka hadi leo.Mtei aliporudi akaanzisha CDM, akampa msaidizi wake BoB Makani ashikilie kidogo baada ya yeye Makani, kuangukia pua pale BoT, kwani wakati BoT wanapunguza wafanyakazi yaliandaliwa mafao mazuri tu ya golden hand shake, Bob akasema ni makubwa mno akapunguza akidhani anawakomoa wakabembeleza waapi jamaa akatia ngumu, barua zilipotoka na yeye ndani! akaichukia serikali hadi leo.

So CDM mnapokebehi juhudi za serikali mkumbuke background ya waasisi na viongozi wenu si wote wameisadia nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…