Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udokozi wangu kihistoria unaonyesha Kambona alikua Brilliant na Visionary. Alikua Critical na azimio la Arusha[uvijiji] swala ambalo ni donda sugu mpaka leo kwa Taifa letu. Kambona alipendelea democracy na uhuru wa kujieleza, swala ambalo mpaka leo linapepesuka na kubakia jinamizi. Aidha Kambona aliamini kwamba kiongozi shariti akubali kukosolewa[criticized] ila Nyerere na wengine hawakutaka hilo. Kijumla Kambona alivisualize a progressive society sio retrogressive, na inavyoonekana hapa ndipo tulipo.
ni hasara kwa taifa mwambie akupe impact of Arusha declaration kama anazijuaSidhani hata buku moja inafika, hawa ndio wale wanaopewa chupa mbili za bia , au paketi ya sigara kali wakabaki asante sana mzee
ni hasara kwa taifa mwambie akupe impact of Arusha declaration kama anazijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maana kwamba hakuna ujinga Tanzania! na huu unaouita utaifa umetufikisha wapi?Kambona alitaka tuige demokrasia ya Wazungu kwa 100%
Tungefanya hivyo tusingekuwa na utaifa km tulionao sasa, tungekuwa Nchi ya wajinga km Kenya
Una maana kwamba hakuna ujinga Tanzania! na huu unaouita utaifa umetufikisha wapi?
Ni kweli currenlty kila mwananchi anavuna matokeo ya Azimio la Arusha, hata vizazi vijavyo....ni hasara kwa taifa mwambie akupe impact of Arusha declaration kama anazijua
Sent using Jamii Forums mobile app
kiufupi limeturudisha nyuma kimaendeleo kitaifa na kwa mtu mmoja mmoja , bado hatujachelewa kujenga misingi bora ya kulivusha taifa letu kwenye hatua iliyo bora zaidi.Ni kweli currenlty kila mwananchi anavuna matokeo ya Azimio la Arusha, hata vizazi vijavyo....
Na Kambona aliona mbali sana[visionary], na inasikitisha juhudi kubwa zimefanyika kufuta jina lake ktk historia ya Tanzania! Je! kama Nyerere angekubali ushauri wa Kambona Tungekuwa wapi kama Jamhuri?kiufupi limeturudisha nyuma kimaendeleo kitaifa na kwa mtu mmoja mmoja , bado hatujachelewa kujenga misingi bora ya kulivusha taifa letu kwenye hatua iliyo bora zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Tunaweza tukajifunza nini ili tujitathmini?bahati mbaya hakuwa raisi wa nchi hivyo kuendelea kujadili hii mada ni kama kujifaliji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
nina huzuni kubwa kuona legendary kama oscar kambona kutowekwa katika history ya Tanganyika , najaribu kuwaza aliwakosea nini viongozi wa wakati hule maana walimchafua sanaNa Kambona aliona mbali sana[visionary], na inasikitisha juhudi kubwa zimefanyika kufuta jina lake ktk historia ya Tanzania! Je! kama Nyerere angekubali ushauri wa Kambona Tungekuwa wapi kama Jamhuri?
Nadhani kulikuwa na unafiki mkubwa sana, Lakini Kambona popote alipo anatuhurumia kwa sababu, aliyoyapendekeza yaliopuuzwa na kushtakiwa kwa kutaka kuipindua serikali! Hili nalo ni la kinafki maana Kambona ndiye alituliza Army Mutiny ya 1964, wakati Nyerere na Kawawa walijificha vichakani! Mbona Kambona hakuidhinisha maasi ya Jeshi kama alikuwa na njama, kama walivyodai Nyerere? Tunahoji.nina huzuni kubwa kuona legendary kama oscar kambona kutowekwa katika history ya Tanganyika , najaribu kuwaza aliwakosea nini viongozi wa wakati hule maana walimchafua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwandishi mahiri wa Nigeria Ken Saro Wiwa, aliwahi kuandika hadithi Fupi iitwayo:AFRICA KILLS HER SON.nina huzuni kubwa kuona legendary kama oscar kambona kutowekwa katika history ya Tanganyika , najaribu kuwaza aliwakosea nini viongozi wa wakati hule maana walimchafua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
unaweza nitumia soft copy nami niongezee ujuziMwandishi mahiri wa Nigeria Ken Saro Wiwa, aliwahi kuandika hadithi Fupi iitwayo:AFRICA KILLS HER SON.