Wanaohangaika na kanchi kadogo ka Zanzibar ni kwa sababu kwenye nchi ya watu milioni 60 kuna mji 1 tu ambao > 85% ya economic activities zinafanyika ndio maana wengi wanakuwa obsessed na Zanzibar.
Kama kungekuwa angalau hata na Dar kama 5 Tanzania nzima imetawanyika Kusini, Kaskazini Magharibi na Kati hakuna mtu angepoteza muda na Zanzibar.
Fikiria Songea ingekuwa kama Dar mtunwa Tunduru ajishugukishe na Zanzibar ili iweje?
Sasa hivi watu wote milioni 60 wanalilia kwenda kujifinya au kuwa na haki ya kujifinya Zanzibar eti wanasema mbona wao wazanzabari wanatuhusiwa kumiliki ardhi huku yaani tayari wanajilingajisha na kutaka usawa na Zanzibar.