Tanzania ingesaidia majimbo ya DRC ya Tanganyika na Kivu Kusini yawe nchi kamili kisha iachane na habari za kuhangaika na Congo.

Dance Macabre

Member
Joined
May 6, 2024
Posts
32
Reaction score
61
Inavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika na S. Kivu yanakuwa nchi huru kila moja kisha iachane na habari za DRC.
1740314505501.jpeg
 
View attachment 3246521
Mimi namuunga mkono mleta hoja. Tunatakiwa kuyaunga mjini Majimbo ya Tanganyika, Kivu kusini na Maniema yapate kuwa nchi kamili then yaitishe kura ya maoni kujiunga na Tanganyika mama (Tanzania)
 
Kujiunga na ni kujiletea matatizo. Wawe tu kwenye sphere of influence kama Burundi.
 
Wazo zuri,Congo aiwezi pata Rais mwenye akili nyingi kama Kagame kuleta amani kwa nchi ya Congo ni vyema Congo imegwe angalau watu wasahau abari ya vita.
 
Hilo wazo lako ndg mjumbe nakujulisha kuwa Kuna Banyamlenge (Tutsi waishio Kongo Mashariki) walilileta kwa Kagame alifanyie kazi, na kwa kweli linafanyiwa kazi,

Labda kwetu sisi tushauri Burundi malawi nduo wajiunge na Tanganyika kuu.
 
Inavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika na S. Kivu yanakuwa nchi huru kila moja kisha iachane na habari za DRC.
View attachment 3246521
Inavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika na S. Kivu yanakuwa nchi huru kila moja kisha iachane na habari za DRC.
View attachment 3246521
Na huu ndio mpango wa siri wa muda mrefu uliopangwa na Museveni na Kagame kuitafuta Himaya ya wahima (tutsis/hima empire) na jambo lilifafanuliwa vizuri katika waraka wa Mtikila ambao uligharimu maisha yake.
 
Inavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika na S. Kivu yanakuwa nchi huru kila moja kisha iachane na habari za DRC.
View attachment 3246521
Wakishaikamata DRC mashariki sehemu iiiyo na utajiri watakuwa wamejihakikishia uimara wa uchumi utakaowawezesha punde kuikamata congo yote huku ikipenyeza majasusi ktk nchi nyinginezo jirani, kwa sasa ni Uganda, Rwandan, Burundi ni muda tu watakapoamua. Ila DRC ni target na nyenzo ya kurahisisha mpango huo
 
Back
Top Bottom