Dance Macabre
Member
- May 6, 2024
- 32
- 61
Yenu unafikiri yatakuja kuisha. Mkija kuamka kuna linchi jirani yenu liko very powerfulTuna yetu ya ndani yanayotukabili tusijiongezee mzigo kwasasaa
Mimi namuunga mkono mleta hoja. Tunatakiwa kuyaunga mjini Majimbo ya Tanganyika, Kivu kusini na Maniema yapate kuwa nchi kamili then yaitishe kura ya maoni kujiunga na Tanganyika mama (Tanzania)Inavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika na S. Kivu yanakuwa nchi huru kila moja kisha iachane na habari za DRC.
View attachment 3246521
Kujiunga na ni kujiletea matatizo. Wawe tu kwenye sphere of influence kama Burundi.Mimi namuunga mkono mleta hoja. Tunatakiwa kuyaunga mjini Majimbo ya Tanganyika, Kivu kusini na Maniema yapate kuwa nchi kamili then yaitishe kura ya maoni kujiunga na Tanganyika mama (Tanzania)
Inavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika na S. Kivu yanakuwa nchi huru kila moja kisha iachane na habari za DRC.
View attachment 3246521
Na huu ndio mpango wa siri wa muda mrefu uliopangwa na Museveni na Kagame kuitafuta Himaya ya wahima (tutsis/hima empire) na jambo lilifafanuliwa vizuri katika waraka wa Mtikila ambao uligharimu maisha yake.Inavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika na S. Kivu yanakuwa nchi huru kila moja kisha iachane na habari za DRC.
View attachment 3246521
Wakishaikamata DRC mashariki sehemu iiiyo na utajiri watakuwa wamejihakikishia uimara wa uchumi utakaowawezesha punde kuikamata congo yote huku ikipenyeza majasusi ktk nchi nyinginezo jirani, kwa sasa ni Uganda, Rwandan, Burundi ni muda tu watakapoamua. Ila DRC ni target na nyenzo ya kurahisisha mpango huoInavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika na S. Kivu yanakuwa nchi huru kila moja kisha iachane na habari za DRC.
View attachment 3246521