Tetesi: Tanzania Institute of Project Management yadaiwa kutoa kozi zisizosajiliwa

Tetesi: Tanzania Institute of Project Management yadaiwa kutoa kozi zisizosajiliwa

goldcall

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
416
Reaction score
567
Habari,

Hawa jamaa, wanatoa kozi zisizo sajiliwa, kuna magumashi. Kuna jamaa, alisoma post graduate ya M&E, baadaye akaambiwa haitambuliki

Ukizingatia umesha poteza muda na pesa, tuweni makini na hivi vyuo vya uchochoroni, pia Serikali ichunguze kwa umakini hivi vyuo uchwara, usije jutia maamuzi yako.
 
Mmh. Ina sisi tuliosoma pale elimu yetu haitambulik?
 
Aisee nilikuwa nasikia matangazo yao redio mawingu na watangazaji wao nilisikia wakisema wanasoma hapo sijui walishamaliza?!
 
Back
Top Bottom