Chuo kikuu kipya cha kimataifa Tanzania International University kimeanza kufanya usahili kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na kutochaguliwa kujiunga na kidato cha tano. Chuo kinatoa mafunzo ya miezi sita ya kusafisha cheti na mara baada ya mafunzo ya hapo na kufaulu vizuri mtihani atakaopewa na chuo atachaguliwa kujiunga na chuo chetu (TIU) kwa kusoma elimu ngazi ya cheti kwa mwaka mmoja kisha baadaye kujiunga na diploma zinazotolewa na TIU. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba hizi +225713162873 au +255767011344. Chuo kinatambuliwa na Tume ya vyuo vikuu nchini yaani TCU. Chuo kimeanza kazi rasmi March 01, 2013 na kozi yenyewe itaanza rasmi kufundishwa tarehe 18 march 2013. Wahi nafasi ni chache. Wote mnakaribishwa.