K Kiparaa JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 384 Reaction score 111 Apr 13, 2013 #1 Taarifa kwa umma kutoka TCU juu ya chuo cha TIU(TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY ) kilichopa kimara mwisho Tunapenda kuwajulisha kuwa chuo hiki hakina ithibati ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) inayokiruhusu kudahili wanafunzi katika kozi yeyote. Attachments TanzaniaInternationalUniversity.pdf TanzaniaInternationalUniversity.pdf 584.2 KB · Views: 205
Taarifa kwa umma kutoka TCU juu ya chuo cha TIU(TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY ) kilichopa kimara mwisho Tunapenda kuwajulisha kuwa chuo hiki hakina ithibati ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) inayokiruhusu kudahili wanafunzi katika kozi yeyote.
Tembele JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 1,152 Reaction score 343 Apr 13, 2013 #2 Chuo cha Nape.
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,815 Reaction score 1,424 Apr 13, 2013 #3 Tcu walikieuhusu wakatoa na chwti, sasa wamegeuka na kukifungia kwa kusema hakijakidhi "mahitaji" mhh
Tcu walikieuhusu wakatoa na chwti, sasa wamegeuka na kukifungia kwa kusema hakijakidhi "mahitaji" mhh