Tanzania Internet Service Providers: Packages

Status
Not open for further replies.
Need one of these, broadband ya Zantel modem yao wanauza shiling ngapi?!
TTCL wanatumia ADSL ya kampuni gani?yenye specs gani?i can buy ADSL modem abroad,for that 450,000 package what is the uplink speed?!
 
Umeuliza maswali muhimu sana; nami ningependa kufahamu majibu yake.

Kuhusu swali lako la mwisho ningekushauri uwasiliane na TTCL. Kabla hawajabadilisha bei zao, speed ilikuwa 2Mbps/1Mbps (Download/Upload)

Wana packages kadhaa, kwa hiyo speed inaweza isifanane kwenye package moja na nyingine.

For large business, ISPs, public and private organizations;
For small and medium enterprises;
For residential and very small offices

Email waliyoweka kwenye website yao:
sales@ttcl.co.tz
 
Maxence Melo,

Kwa sisi ambao hatuko kwenye field ya IT maelezo yako yametutoa tongotongo. Nisaidie moja tu. Nina pc nataka kuweka internet kwa matumizi yangu nyumbani, kwa maoni yako niende kwa Provider yupi?? (Bei, speed, service). Tafadhali saidi hilo.
 
Ili Max aweze kukusaida, nadhani inabidi umfahamishe yafuatayo:
- Matumizi yako yakoje (Volume).
- Bajeti yako ikoje
- Eneo au mkoa unaoishi
- Je, unayo line ya TTCL nyumbani?

Mwingine ana malengo ya kufanya biashara na anahitaji Internet muda wote. Utaona kwamba inategemea mazingira yako yakoje.

Halafu, baada ya kujisomea ambacho Max ameweka humu tayari, uliza maswali kwenye maeneo ambayo hujaelewa. Jisaidie usaidiwe!
 
nimejaribu hiyo Zantel broadband,sijui nimepewa modem mbaya or what but the thing is crappy at best!it can render normal pages well,but skype,and other intensive pages is still a big headache.

nadhani TZ ISP's do not know what QOS is,the QOS is totally unacceptable.use it to surf webpages but not to do video conferencing(skype) or any of such.
 
Unlimited wireless would have been a great deal and many people would have opted for such services even students as well. Na ile ndoto yetu ya kupeleka ICT hadi vijijini ingekamilika na wadau wangepata elimu tosha kwa maisha yao.
 
yani mkuu kama ulikuwa mawazoni mwangu kwani uliyoongea kuhusu hawa isp ni sahihi kabisa nimebatika kutumia wote na nilivutiwa na matangazo ila nilijuta nikabaki ttcl ila kero zao nikama ulivyosema jamaa ni warasimu ukipata tatizo dogo utamaliza soli za viatu alafu awana uelewa unakuta unamweleza tatizo anakueleza vitu vingine mpaka unaanza kumfundisha
 
Aise i just joined jamii forums, nimefurahi kweli kuona wengine wapo kwenye quest for the perfect isp.

Ok mimi napenda kudownload heavy material ambayo one content inakuwa size ya 1gb to even 5gb. Mimi nipo Bol saivi 🙁. I read what you said about bol, ila sidhani kama wana limit speed because speed wanayo offer ni 256 kbps= 31,3 KB/s. Lakini highest download peak nimefika is 24kb/s which i think is because nakaa makongo juu..lol. Bol kwaiyo nimechagua simply because it is too expensive to download as much as i do with postpaid system. Natafuta any kind of broadband unlimited ambayo ita weza kuperform faster even at least 80kb/s itakuwa upgrade nzuri.

Pia niliaanza kutafuta international ISP's ambayo wanalipwa through VISA. The one i found is
mobility pass. This is their link http://www.mobilitypass.com/internet_access_coverage/Tanzania.html Sija settle kucalculate benefits zao in terms of prices compared to local isp's ila najua maxence utapenda kuingalia kidogo...lol🙂

Tip for bol users:
Kama unakaa mbali unaweza kutumia mirrors kwenye modem yako ku boost signal. Mirrors zina channel hile signal to a narrow path na ukiweza kulenga vizuri utapata better signal. (This can be done for any antenna). Google ''parabolic reflectors'' upate idea nzuri zaidi of how they work.

What kind of download accelerators unatumiaga bwana maxence? Mimi natumia Tweak master saivi. Lakini difference yake haikuwa kubwa sana.
 
Hiyo mobilityPass sahau kabisa, ni dialup so inabidi utumie landline kudial namba ya dar, maana yake inadidi ulipie charges za local call ya landline + charges zao za mtandao.

Angalia vodacom, nakumbuka walikuwa na unlimited ilikuwa kama laki nadhani, ila speed ndo sijui utapata ipi huko unapokaa, maana 3G ipo maeneo machache.
 
Tafadhali nielimishe kuhusu namna ya kujua nimetumia ama nimebakiza 'bundle' kiasi gani maana nilinununua ya 1GB kabla hata mwezi haujaisha wakadai ishaisha ila nikiangalia kile kisanduku chao cha Takwimu naona nimetumia 700MB tu!
 
Inabidi uangalie Download + Upload ndo unapata Total uliyotumia. Hicho kisanduku sijui kinaonyesha nini. Pia kuna programs unaweza kutumia inahesabu matumizi yako.

http://www.simplehelp.net/2007/09/09/how-to-monitor-your-internet-bandwidth-usage-in-windows/
 
Asante, ngoja nicheki hiyo linki uliyotuma. Niliangalia download + upload na total yake ndio ilikuwa 700 MB ili nilipowapigia wakadai eti huko kwao wao wanaona nimeshatumia 1GB yote! Sisi nikawauliza nitajuaje matumizi yangu yanakwendaje kama takwimu zangu na zao hazilingani wakabaki wanababaika, eti nitumia simu ila simu inaonesha kiasi cha hela zilizobaki na sio kiasi cha Bytes zilizotumika. Mwingine akadai eti nizime automatic updates ili bytes ziziishe kwa kasi. Sasa naanza kuimiss BOL maana yenyewe japo ilikuwa haina kasi sana ila ilikuwa ni unlimited, unawasha computer muda wote na hela unalipia hiyo hiyo kwa mwezi!

P.S. Alafu ukiweka ya 200MB/Month ambayo ni Tsh 10,000 inaisha siku hiyo hiyo!
 
Kweli your right 'Kang' wanacharge local rates kwaiyo bado nimekwama. 3G naweza kupata because regularly natumiaga 3G ya zain kwenye huawei modem na speeds zinafika upto 200kb/s which is more than enough for me. Nitawapigia vodacom about the monthly service and speeds wanayo offer. Kama kuna any other speed based bundles please help out....
 
P.S. Alafu ukiweka ya 200MB/Month ambayo ni Tsh 10,000 inaisha siku hiyo hiyo!

Nilienroll kwenye package hii. huwa ninatumia kuanzia wiki moja hadi mbili kutegemeana na matumizi. Kama imeisha kwa siku moja labda matumizi yako ni makubwa.

Naungana na wewe jinsi ya kujua umetumia au kubakiza kiasi gani kwenye package.
 
Piga Star 775 Reli Kisha fuata Maelekezo
 
Nilienroll kwenye package hii. huwa ninatumia kuanzia wiki moja hadi mbili kutegemeana na matumizi. Kama imeisha kwa siku moja labda matumizi yako ni makubwa.

Naungana na wewe jinsi ya kujua umetumia au kubakiza kiasi gani kwenye package.

matumizi yangu ya kawaida tu - kusoma email na jamii forum takribani kila siku
 
Tafadhali nielimishe kuhusu namna ya kujua nimetumia ama nimebakiza 'bundle' kiasi gani maana nilinununua ya 1GB kabla hata mwezi haujaisha wakadai ishaisha ila nikiangalia kile kisanduku chao cha Takwimu naona nimetumia 700MB tu!

Mkuu mimi natumia zantel na yameshawahi kunikuta kama yako lakini baadaye nikagundua kwamba nilitumia moderm katika Computer zaidi ya Moja na zile Statistic hazina Mwendelezo yaani zinakuwa katika ile computer ulioitumia, sasa ukitaka correct stats inabidi ujumlishe stats katika computer zote ulizoconnect moderm

Ili kuepuka Ufumbufu nikanunua line nyingine ya Zantel kwa hiyo huwa naulizia Salio

Mkuu 200MB hailipi ni heri ununue 1 GB
 
Mkuu nilinunua 1GB ikaisha baada ya wiki 2 ndio maana nikaanza kuweka hivyo vya 200MB wakati nafuatilia kwa nini Takwimu zinaonesha imekula 700MB ila wao wanadai nishakula 1GB, "ushanifahmu"?

Hiyo *755# inaeleza nimekula Bytes ngapi? Inatumika kwenye line ya Zantel tu? Sisi tusio na line ya Zantel inakuwaje?
 
Hiyo *755# inaeleza nimekula Bytes ngapi? Inatumika kwenye line ya Zantel tu? Sisi tusio na line ya Zantel inakuwaje?

Hiyo inaeleza salio la Bytes zako! Kama huna line ya Zantel inakuwa ngumu kaka na vile vile hata Bundle yako inapokaribia kwisha ina ku alert
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…