Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Mbona hawapo tena TIC? Ni ninin ulitaka kutujuza hapa?
Sasa hivi ni wiki nzima website yao haipatikani sasa jiulizeni wawekezaji wanapata vipi habari za uwekezaji wakati TIC wamefanya ufisadi wa kufunga website yao?
http://www.tic.co.tz/
Inamaana Ole Naiko na Samuel Sita lao moja?
Kama Ole naiko umeshindwa kazi kwa nini usiachie ngazi tuu tukajua moja?
wanaoendelea ****** huu ni vijana wa Sita ambao naiko ameendelea kuwalea
Nagu hana habari
Nyalandu hana habari
Sasa hivi ni wiki nzima website yao haipatikani sasa jiulizeni wawekezaji wanapata vipi habari za uwekezaji wakati TIC wamefanya ufisadi wa kufunga website yao?
Welcome to Tanzania Investment Centre Website
Inamaana Ole Naiko na Samuel Sita lao moja?
Kama Ole naiko umeshindwa kazi kwa nini usiachie ngazi tuu tukajua moja?
Tatizo siyo Ole, sita au TIC au Ikulu, tatizo ni wizara ya mawasiliano na Uchukuzi ndiyo inatakiwa ifuatilie mambo haya yote. Ukiwa benki utaambiwa aah system iko doown saaana, ukiwa TRA utajibiwa hivyo hivyo, ukiwa kwenye mitandao jibu ni hilo hilo, ukienda BRELA jibu hilo hilo.....Ni Tz tu ndiyo kuna majibu hayo, waambieni warekebishe mfumo au namna ya kupokea data za internet......Nadhani humu kuna watalaam wa Internet watatujuza zaidi. Poleni sana kwa huduma hafifu kama hizi.
Sasa hivi ni wiki nzima website yao haipatikani sasa jiulizeni wawekezaji wanapata vipi habari za uwekezaji wakati TIC wamefanya ufisadi wa kufunga website yao?
Welcome to Tanzania Investment Centre Website
Inamaana Ole Naiko na Samuel Sita lao moja?
Kama Ole naiko umeshindwa kazi kwa nini usiachie ngazi tuu tukajua moja?
UPDATE:
Baada ya kuandika hii thread, website imerejeshwa hewani!