Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Samia ni Amiri Jeshi Mkuu na anahakikisha mipaka ya Tanzania ipo Salama na watanzania wanakuwa na tabasamu kila kukicha.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
 
Attachments

  • FB_IMG_1737798035686.jpg
    FB_IMG_1737798035686.jpg
    93.9 KB · Views: 4
Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Samia ni Amiri Jeshi Mkuu na anahakikisha mipaka ya Tanzania ipo Salama na watanzania wanakuwa na tabasamu kila kukicha.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Wajinga mpo wengi nchi hii lakini mtapungua tu. Nchi IPO salama ki vipi wakati uraia unagawiwa kama pipi siku hizi. Makamu Hadi kaona aibu ameamua kujiondoa kukwepa aibu na moto wa Jehanam baada ya uhai kukoma. Yanaiba had aibu
 
Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Samia ni Amiri Jeshi Mkuu na anahakikisha mipaka ya Tanzania ipo Salama na watanzania wanakuwa na tabasamu kila kukicha.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Unaichukuliaje ile kauli ya tahadhali kutoka kwa Spika wa zamani wa Bunge la Tanganyika Mh. Job Ndugai pale alipotahadharisha ya kuwa nchi itapigwa mnada tusipokuwa makini?
 
Back
Top Bottom