Tanzania is among the heavily indebted poor countries (HIPC) - World Bank

Incase hujui ni kwamba kwa sasa Tanzania ndio infrastructural dominant in the region hilo ukae ukilitambua is the matter of upgrading statistics only and completion of several projects but Tanzania we have no competitor on that matter so far.

Leo hii mnayo titlte mpya inaitwa HIPC, awali tulizoea LDC, sijui gani nyingine mtapewa kesho.
Halafu la infrastructure, nitajie mradi mmoja mumeanzisha kwenye awamu ya tano na mkakamilisha, nimezoea kuona mkipiga mapicha ya kuzindua, lakini sijaona ya kukamilisha, picha za kukamilisha huwa zile za miradi ya zamani ya Kikwete kama vila daraja la Kigamboni.
Haya mengine yote ya akina Stiegler na sijui whatnot ni vitu vya kusema sema tu. Mwaka umesalia mmoja kabla ya kuomba kura, sijui mtatumia picha zipi kwenye kampeni.
 
Wana CCM wako na tabu, advantage is that they flourish on ignorance, gullibility and blind patriotism mentality ya raiya wao, who are hoodwinked by propaganda.
 
๐Ÿšง Kwanza in Tanzania there is the integrity network of tarmac roads connecting the entire regions more to 25 regions yet now the kilometers of tarmac roads under construction ni 10,000 kilometers countrywide

๐Ÿ›ฌ Number of airports under construction now is 12 airports

๐Ÿ›ณ Dar port, Tanga port, Mtwara ports are under major construction now

๐Ÿš‰ Bullet train construction i do not need to say more

โ›ฎ 2200 kilowatts construction project I do not need to say more

๐Ÿ”ฅ Natural gas supply is across the country now and power generation through Kinyerezi I, II, III, IVโž• LNG gas project

๐Ÿ›ณ 3 Ships in lake Nyasa, 4 ships in Lake Victoria, 1 ship ๐Ÿ›ณ in Lake Tanganyika construction ๐Ÿšง is on point

๐Ÿš Regional bus stands construction is countrywide news ๐Ÿ“ฐ

โœˆ 7 brand new aircrafts are visible

๐Ÿ›ข Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ crude oil pipelines is your lifetime pain

Many of these projects are completed and other on the final stages of completion and ground breaking stage
 

Taja mlizokamilisha hapo wacha kutuambia mambo ya groundbreaking za stend za mabasi. Nimejaribu kufuata hiyo list yote most of them bado zipo kwenye mapicha mapicha ya wanasiasa hamna kilicho onekana.
 
Localized hunger is common in any country across the world. It's just the matter of how circulation is coordinated!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ