Tanzania is broken and dead beyond repair . By 2025 tutakuwa Zimbabwe

Na nikasikia sauti ikiuliza who is taking us to hell and another voice replied "her majesty"
 
Afya ya akili
 
Our decline is beyond repair, machawa wanapiga vigelegele na kumuimbia mfalme nyimbo anazotaka.
 
Madhara yakutoweka maslahi ya Taifa mbele ni hatari sana kuliko tunavyodhani, kidogo tunachopata kama rushwa hakiwezi kuwa sawa na damage inayofanywa.

Mchwa waharibifu wanaakili kuliko uwezo wetu wa kufikiri, faida wanayopata inatosha kuifanya nchi kuwa shaghalabaghala.
Bahati mbaya mchwa wanaofaidika kwa kiasi kikubwa Tanzania ni kwao kwenye maslahi lakini uhalisia wa mambo hawapachukulii kama kwao, hili limewafanya kutojali kama ambayo wangejali kwenye asili za Babu zao.

Mchwa waharibifu ni magwiji kwenye international arena na umafia wa kimataifa na nyuma yao kuna wakubwa waliotudhidi umri na kila kitu.
Tunawacheka DRC maana wao wanaporwa kibabe, lakini tunaweza kuwa kwenye nafasi sawa ila sisi tunaporwa tukiwa tumepigwa ganzi au dawa ya usingizi ( hii ni mbinu mpya ya kisasa inayotumiwa ukiacha Ile ya kizamani ya ubabe).
 
Mbinu ya kisasa kuslave nchi za third world ni kutumia moles ambao ni giant businessmen wenye uwezo wa kupata connections na kufanya lobbying na influential figures wenye tamaa, wabinafsi wasio wazalendo.

Kifupi we are in debt trap na tumeshakula ndoano kupitia madalali wanaofanya damage internally kwa faida ya mabwanyenye.
 
Dah! Kiingereza Cha UVCCM
 
Naunga mkono hoja yako dola imekuwa haipatikani, hyper inflation inelekea kutimia. ksh 25 sawa na dafu moja. bahati mbaya wawekezaji wanaokuja wanalipa mishahara midogo sijui wanasiasa wanalisemaje hili hakuna anayeongelea wages.
 
Kwa huyu maza ni kweli tupu
 
Nchi ina wachumi akina Mwigulu wapuuzi tupu
 
Such a poor english ?
 
The popular destinations for millionaires leaving African countries include the UAE, the UK, and South Africa, as well as several countries in Europe as these countries offer more attractive business environments, political stability, and luxury lifestyles, making them appealing to high-net-worth individuals.
 
Indicators mr messanger?
 
sijui mnatowaga wapi mawazo ya kijinga naman hii halafu eti anaandika english aonekane msomi kumbe rubish unailinganisha tz na zimabwe akili unazo kweli au umebebe mzigo wa mavi huko kichwani?
Kabeba zigo la mavi huyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…