Tanzania is building their second flyover as Nairobi is currently building their 50th one.

There is no hate here. We are just stating realities and facts.
This attitude of hate on whatever we do was planted by charles njonjo, from the look of things, he actually succeeded to change the hearts of many of you.

NB I normally use small letters when writing a name of a person I disrespect
 
Kazoeni mitondolo ya Mavi huko kwenye slum zenu, kama mnajenga bypass, flyovers nyingi na bado mnanjaa, rushwa, makazi mabovu vijana hawana future haitawasaidia
 
In other news
Dar es Salaam has a BRT system with over 30 stations while Nairobi has..............flyovers?
 
I know people from LDC's doesn't believe in things like those so I'll just assume your presence.
Jiheshimu kwanza kwenye mass transit hamtukaribii hata kidogo. Unalinganisha hizo mathree zenu chafuchafu na BRT?
Kwa taarifa yako tu ni rahisi sana BRT kuboreshwa kuwa LRT kwa hiyo tukiamuwa ku convert ni kazi ndogo tu kwetu.
BRT PHASE 2 LOADING!
 
Fungulia hiyo BRT yako it's own thread tutacome huko kuchangia.
Jiheshimu kwanza kwenye mass transit hamtukaribii hata kidogo. Unalinganisha hizo mathree zenu chafuchafu na BRT?
Kwa taarifa yako tu ni rahisi sana BRT kuboreshwa kuwa LRT kwa hiyo tukiamuwa ku convert ni kazi ndogo tu kwetu.
BRT PHASE 2 LOADING!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…