Tanzania is building their second flyover as Nairobi is currently building their 50th one.


Others might be Box Culverts 🤣🤣🤣
 
Nenda ukarogane mbali.
Wakenya mnatucheka watz Kwa kuchelewa kujenga flyover ila kimesha wakuta kile kilicho wakuta kwenye sgr ,mlitangulia kisha tukafuatia sisi na sgr ya umeme ndipo wakenya mkaanza kutapatapa Kwa kutaka kubadili sgr yenu kuwa ya Umeme kumbe mfumo wa madaraja mliojenga auwezi kuluusu nguzo za umeme mkashindwa .na sasa naona mnaludia kosa tena kwenye flyover zenu hakuna mfumo wa BRT wala wa hizo treni za umeme za mijini baadae mtajikuta mmekwama sana ,kuusu flyover zote za tz tumezingatia mfumo wa BRT kwa umakini mkubwa
 
Above all, Hakika Nai ni chafu Sana, barabara ukienda kisumu mpaka migori ni mashimo tuuu kwa middle ya road.

Tusemage kweli, Kenya is Worse
Tz was behind, ila kwasasa ina shine sana.
Ngoja Nairobi waendelee kula matumbo, Tz inasonga
 
kajambe mbele, wewe kila hotuba huoni anazungumzia stigla na kidaraja cha ubungo of which infact ni miradi ya kikwete sawa na zile rada ni miradi ya kikwete.?
Kafie mbali wew unataka awe anakutawaza ndo uone kazi anayofanya au? Au unahisi hata akikaa kimya watu hatuoni mazur anayotufanyia?
 
Above all, Hakika Nai ni chafu Sana, barabara ukienda kisumu mpaka migori ni mashimo tuuu kwa middle ya road.

Tusemage kweli, Kenya is Worse
Tz was behind, ila kwasasa ina shine sana.
Ngoja Nairobi waendelee kula matumbo, Tz inasonga
Ujinga ni ugonjwa hauna matibabu ni kama ukimwi tu
 
Nimejiuliza je ile nayo ni flyover au daraja...?? Mkikuyu hajawahi kuwa na akili hata siku moja...
That's actually part of a larger interchange intersecting the major freeways. i.e Thika road and Outer-ring road being constructed there, if I could get a larger aerial view it would be better. As these are normal constructions in Kenya there is even no media hype about it. Same as The current construction of Waiyaki way into a 24km 10 lane super highway(that is including service lanes and obviously about 10 fly-overs) and also the western bypass which is also a 17km 8 lane freeway with multiple fly-overs....and many more projects. I imagine if it was happening in LDC it would be on the headlines everyday, Magu visits every weeks na utunzi wa nyimbo za kumsifia Magu na CCM. Here they do the projects and we still criticize that it's not enough.
 
nothing special the whole of Dodoma is to have two ring roads one 100km plus already U/C!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…