Tanzania is building their second flyover as Nairobi is currently building their 50th one.

Nimekuwa nikichunguza KWA umakini sana kuhusiana NA nyuzi mbalimbali hapa JF zinazohusu mambo kama haya, NA kuzua malumbano NA mabishano kati ya Watanzania NA Wakenya.
Baada ya uchunguzi wangu Nimegundua ya kwamba wengi WA wachangiaji kwenye nyuzi mbalimbali kama hizo, kutoka Kenya NA Tz, KWA pamoja:-
1.wamekuwa wakibishana tu kutokana na mihemko NA ushabiki juu ya mahali watokako
2.Wengi kutokuwa NA upeo wa kutosha WA kuchanganua mambo, ignorance au wamekosa exposure ya kutosha kutoka sehemu /nchi zingine mbalimbali kuhusiana NA masuala mbalimbali wanayobishania, kuwepo kwa tatizo la ulimbukeni miongoni mwao.
3.Wengi wao wanaonekana kuwa hawana viwango bora au wana hali duni za maisha yao binafsi ya kila siku, etc.

Mimi napenda niwakumbushe tu kwamba maendeleo yoyote Yale yaliyo ya kweli NA endelevu ktk nchi yoyote ile duniani au mahali popote pale yanaanzia NA Ubora wa Maisha binafsi ya MTU mmoja mmoja ktk eneo au nchi husika.e.g, kuwa na Elimu bora NA Sahihi, kila mtu kuwa na uhakika WA kutosha WA kupata mahitaji yake yote ya msingi ktk maisha yake yote kama vile chakuka/lishe bora, kuwa na makazi bora, uhakika WA kupata huduma bora za afya, kuwa na kipato cha kutosha cha kuweza kuendesha maisha binafsi na mahitaji mengine etc.

Hayo masuala ya siju madaraja, fly over, barabara n.k yatakuja baada ya MTU mmoja mmoja kuweza kufanikiwa ktk kuyamudu masuala mbalimbali niliyoainisha hapo juu, kinyume cha hapo ni kazi bure hata kama kuna fly over nyingi kwenye kila mtaani nchi nzima, haitasaidia kitu chochote, mnatakiwa mlifahamu hili.

Mfano mzuri ktk hicho nilichoeleza hapo juu upo nchini Afrika Kusini, kuna barabara nzuri, fly over nyingi sana kuliko nchi nyingine zote ktk bara hili LA Afrika, lakini ukweli NA uhalisia ni kwamba Watu wengi weusi raia wa nchi hiyo ya Afrika Kusini wanaishi kwenye hali mbaya sana, wana maisha magumu sana kupita kiasi ukilinganisha NA maisha wanayoishi Watu maskini kabisa kutoka ktk nchi zingine za Afrika, Kenya NA Tz zikiwemo.Fly overs NA barabara nzuri zilizopo huko haziwasaidii kitu kwenye maisha yao ya MTU mmoja mmoja ya kila siku.
 
Hiyo ni interchange kweli...😂😂😂😂🤣🤣🤣 Wajinga ndouliwa...🤣🤣🤣 Interchange hujengwa hivi...👇👇👇😂😂 Pia unataka kutwambia Kenya hilo daraja sio Big News...??😂😂😭😭👇👇👇 ..Niongeze volume...?? Siku zote akili ndogo hiwezi zidi akili kubwa...
 
nothing special the whole of Dodoma is to have two ring roads one 100km plus already U/C!
All I did is two mention two super highways U/C in nairobi.. If I start mentioning all other projects nitajaza server. Lamu-Garisa-Isiolo over 500km is U/C, Lamu-Garsen 135km U/C, Eldoret-Lowder-Juba over 600km U/C. etc.
Just stop hyping every other small project as is the case with LDC mentality.
 
Hiyo ni interchange kweli...😂😂😂😂🤣🤣🤣 Wajinga ndouliwa...🤣🤣🤣
I give up arguing with you on this, interchanges are a normal here...This in particular will be done before that Ubungo and I'll still be here to see the egg on your face. Argue with facts not emotion, You can't make an actual interchange disappear by laughing it off.
 
Ruaraka interchange under Construction
 
Hiyo ni interchange kweli...😂😂😂😂🤣🤣🤣 Wajinga ndouliwa...🤣🤣🤣
I give up arguing with you on this, interchanges are a normal here...This in particular will be done before that Ubungo and I'll still be here to see the egg on your face. Argue with facts not emotion, You can't make an actual interchange disappear by laughing it off.
 
Kwenye miundu mbinu ya kueleweka hata jiji la Kisumu tu linawafunika wakijaribu kufunua. Kama Sauti ya Solo(in Jiwe's voice).
 
hii haijaikuta ubungo hata robo😂😂😂😂😂😂
 
Midanganyika na roho nyeusi utacheka…..Ati hata hiyo tulijenga 1950...Duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…