Tanzania is building their second flyover as Nairobi is currently building their 50th one.

unajua kwamba hata kwenye flyovers huna cha kutamba! Dar-Kibaha highway ina several flyovers pia! Ni mpumbavu wa Kikunya anaweza kuweka post hii!
Kibaka Highway hata haijakamilika...hebu Kwanza week picha ya hako kabarabara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Whats the progress of the JKIA-Rironi interchange? Updates please.
 
Njoo uzione, wacha hako kamoja mlipewa na Mjapani ambako Watanzania wa mikoani mkifika Dar lazima muende kupigiwa picha hapo.
Subiri tukamilishe ile ya kutoka JKIA hadi Westlands....
Btw ubungo interchange itawavuruga sana,sio hayo mawe mmepanga hapo NBO kila kona, hamna flyover hata moja yenye quality ya mfugale na hii sio kwa NBO tu ni kenya yote
 
Btw ubungo interchange itawavuruga sana,sio hayo mawe mmepanga hapo NBO kila kona, hamna flyover hata moja yenye quality ya mfugale na hii sio kwa NBO tu ni kenya yote

Mfungale mbona mtoto sana wa juzi, vitu vipo huu mji yaani utadhani Ulaya, kuna watu wa kutokea Ulaya wakija hushangaa kukuta tofauti sana yale huambiwa na media.
Kenya inakwenda kwa kasi sana, mimi mwenyewe nikikawia kuzunguka zunguka huwa najikuta nikipotea njia. Juzi nimekua pale Ngong road nikawa najiuliza mara kadhaa.

Mwanzoni hizi flyover tulikua tunaziona kama dili, jinsi nyie mnazishangaa shangaa maana ndio mnaanza, sisi tushazichoka, vitu vinapishana na kuzungukana

 
Uchafu mtupu
 
Dar is building a 3rd flyover at Ubungo after Kigamboni's n Tazara's. Another will be at Chang'Ombe n another at Uhasibu with DART project!

Kuna eight intersections dar ambazo flyover zitajengwa ukiachana hizo za brt, ambazo tender yake iliangazwa na consultants wapo kazini, ukiachana na hiyo possibly kutakuwa kuna fly over pale mbuyuni (njia panda ya kunduchi) ambayo itakuwa ni sehemu ya brt 4 ambayo ipo kwenye design stage sasa, ten years to come hii dar es itabadilika sana
 
That's 7 interchanges coming up only on western bypass.. And it's going on unnoticed. Ingekuwa LDC jf servers zingejazwa na mapicha na sifa za sisiemu [emoji23][emoji23]
 
So hiyo inamanisha that Tanzania to Nairobi ratio in terms of flyovers is 1:25.
Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line.
Boss wabongo huwa hawakurupuki,tunahangaikaaa,lakini wakija wanakuja na kitu ya uhakika kushinda tuliotangulia.
 
Tz is nit building a flyover, it is an interchange get it right pls
 
Sasa hapo cha ajabu ni nini hasa?
Ukishakua dereva na kuna road signs,na still ni mwenyeji wa mji husika,ukiwa tayari unajua unaelekea wapi,huwezi kuona ni miujiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…