pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Tulia jombaa ujionee watz wanavozinguana wenyewe kwa wenyewe. Ni bonge la show moja ya bure. [emoji1]Mtashinda mkirudia hii kitu kama wimbo wa chekechea? Ni kama hamujiamini. Mkiongoza kwa jambo lolote tu, mnapiga makelele kama paka yenye inataka kuzaa.
Kwani mtu akiwekeza leo anaaza kilipa kodi kesho? Kodi inalipwa pale biashara imeanza na inapata faida. Investment alizosema Majaliwa, unweza usione kodi yake sio chini ya miaka mitano baadae. These are long term investments ambazo inabidi zijengwe kwanza kabla ya uzalishaji.huhitaji shule kubwa kujua kodi ndio chanzo kikuu cha mapato Kwa nchi. Vyanzo vingine ni vya ziada. Pia uwekezaji Mkubwa unapaswa uendane sambamba na ukusanyaji mapato. Uhalisia wa Tz kwasasa unaujua kwamba makusanyo yameshuka ustake kujitia ujinga. You can't just speak with mere words that we lead in investment whilst makusanyo hayasadifu!!!!
Juzi juzi walishinda siku nzima wakiniambia watz hawajishuhulishi na ranking. .. sasa angalia vile wanajaza kurasaMtashinda mkirudia hii kitu kama wimbo wa chekechea? Ni kama hamujiamini. Mkiongoza kwa jambo lolote tu, mnapiga makelele kama paka yenye inataka kuzaa.
Unaongelea upumbavu gani hapa?huhitaji shule kubwa kujua kodi ndio chanzo kikuu cha mapato Kwa nchi. Vyanzo vingine ni vya ziada. Pia uwekezaji Mkubwa unapaswa uendane sambamba na ukusanyaji mapato. Uhalisia wa Tz kwasasa unaujua kwamba makusanyo yameshuka ustake kujitia ujinga. You can't just speak with mere words that we lead in investment whilst makusanyo hayasadifu!!!!
Hiyo 1.3T Mara ya mwisho ilikuwa lini? Tangu mwaka huu umeanza umeshasikia tena zile mbwembwe za TRA kutangaza makusanyo ya Kila mwezi? You know why hawatangazi? Jiongeze weweUnaongelea upumbavu gani hapa?
Mapato ya kodi yameshuka source ya hii pumba yako kutoka TRA ipo wapi? Au hayo mapato ni ya wapi?
JPM kapandisha ukusanyaji kutoka billion 800 kwa mwezi mpaka trillion 1.3 ongezeko la zaidi ya billion 500 alafu unasema kodi imeshuka?
Dumb as hell
Jiongeze maana yake nini kwenye fact driving topics? Hapa huongei na wala kashata wa kwenye vibanda umiza kijana, hapa ukiongea ni facts mbele, leta ushahidi wenye akili sio mataputapuHiyo 1.3T Mara ya mwisho ilikuwa lini? Tangu mwaka huu umeanza umeshasikia tena zile mbwembwe za TRA kutangaza makusanyo ya Kila mwezi? You know why hawatangazi? Jiongeze wewe
Kweli nimeamini wakenya mnabaka mifungo ulimchumbuza paka wakati wa kuzaa ??Mtashinda mkirudia hii kitu kama wimbo wa chekechea? Ni kama hamujiamini. Mkiongoza kwa jambo lolote tu, mnapiga makelele kama paka yenye inataka kuzaa.
Wakina Maina na Mwangi ni hatari kwenye kujitosa mazizini na kulawiti visivyoweza kusema!Kweli nimeamini wakenya mnabaka mifungo ulimchumbuza paka wakati wa kuzaa ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nawe bana acha kisirani kwani mtu hawezi akafurahi kuona mjadala ambao umechangamka? Naongea kuhusu hoja zinazozungumziwa hapa. Wewe unayewaza kuhusu mapanga na vurugu ndio ujastaarabika hata kidogo.Watanzania Wanazinguana Kwa Hoja Halafu Mtu Anaona Ni Bonge La Shoo, sijui Angesheherekea Vipi Kama Wangekuwa Wanazinguana Kwa Mapanga Na Moto Kama Ilivyowahi Kutokea Kenya Miaka Michache Iliyopita.