Tanzania is officially an authoritarian state.

Tena so kidogo. Bado ndege ya mizigo ambayo tutakuwa tunauzia mchicha USA [emoji23] [emoji23] [emoji23]

God save us
 
Kina nani hao wanapata pressure? Maanake naona hapo kwa taarifa waliouliza maswali ni wabunge wa Tz. Yaani shirika la maswala ya usafiri wa anga mzee amewapokonya wataalamu kwenye wizara na akalihamisha hadi kwenye ofisi ya rais. Alafu lile la uwekezaji akalihamisha kutoka kwa wizara ya biashara na viwanda hadi kwenye ofisi ya waziri mkuu. Hapo Jiwe kaua! Hongera zake.
 
Msingekua mnapata pressure hizi habar mngezipotezea,btw JPM anakomaa sana maana kuna wakora humu hawajishtukii yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau Terminal 3 ambayo inakuja kukafanya ka airport kao kawe kama ka mbilikimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora afanye hivyo labda atafaulu kufanikisha kitu, maana awamu hii ya tano hamna kimoja kilichokamilika na kuonekana.
Ripoti ya CAG inaonyesha makajanja ni kama walifunguliwa na kuachiwa kupiga zaidi ya awamu zote.
Asipohodhi huduma zote ili ziongozwe moja kwa moja kutoka ikulu, atakamilisha awamu bila chochote cha kuonyesha.
 
These are the people we are talking about.

Micro management seems good when happening but people realize they were fvcked afterwards. I hope you are old enough to remember the Moi era. People loved him while he ruled. People used to sing him songs. Politicians who criticized him were stoned by the citizens. It is only years later that we realize he fvcked us big time. Without him, Kenya would be on the same level as Algeria. Tanzania is exactly where Kenya was during the Moi era - probably worse. At least during the Moi era we did several street demonstrations against the president and even attempted a coupe.
 
The earliest clear memories of my childhood were tagging along with my father and uncles and seeing them dancing, singing 'Tawala Kenya Tawala' for Moi and shaking their index fingers while shouting, jogoo! I tried reminiscing about that with one of my 'small fathers' some time back and all he could do was shake the same index finger, but at me, as a warning to keep my mouth shut about 'our' little secret.
 

Ahaaa haaa haaa
That's your perception. In bongo everything is doing well. It's only you who pop noise on others business. Go on feeling the way you do. Wishful thinkers.
 
Pipeline from uganda to Tanga $ 3bn
LNG project in mtwara $30bn
 
Ingekuwa ni masuala ya elimu na afya ndio yanaendeshwa moja kwa moja kutoka ikulu ningemsifia sana. Ila naelewa kwamba kura za uchaguzi ujao lazima zitafutwe kutumia mbinu zote. Naona ni kama hayo mengine sio ya muhimu sana kwake.
 
Ingekuwa ni masuala ya elimu na afya ndio yanaendeshwa moja kwa moja kutoka ikulu ningemsifia sana. Ila naelewa kwamba kura za uchaguzi ujao lazima zitafutwe kutumia mbinu zote. Naona ni kama hayo mengine sio ya muhimu sana kwake.
Eti unaona, hihii. Haters bhana.
 
Even Moi and Magufuli do not sound the same, guys stop pretending you're bothered about Tz as if you wish us well.
You have never.
 
Even Moi and Magufuli do not sound the same, guys stop pretending you're bothered about Tz as if you wish us well.
You have never.

You must be really doing badly on matters press freedom. Danganyika sounds like former Yugoslavia under Milosevic and his dare devil wife Mira #Kibiti massacre
 
Ila sio siri kwamba kila uchao mzee anazidi 'kutoklezea' kweli kweli. Wenye wivu wajinyonge. 😎
Lazima utakuwa unakaa/umekaa sana bongo, mpaka unajua "kutokelezea" hichi ni kile cha uswahilini ndani ndani kabisa.
 
Lazima utakuwa unakaa/umekaa sana bongo, mpaka unajua "kutokelezea" hichi ni kile cha uswahilini ndani ndani kabisa.
Hahaa! [emoji1] Nililiskia zamani alafu baadaye nikaja kulisikia tena likitumiwa kwenye sheng.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…