Wanasiasa wanaendelea kuwa decision makers kwenye mambo ambayo ni too technical; mswada wa umeme uliopitishwa jana bungeni ni mkenge mwingine utakaoutuumiza mno baadae.
Hatujapona majeraha ya hawa wawekezaji matapeli ktk sekta ya madini na bado serikali imependekeza Tanesco iwe na mshindani, Tanesco ambayo inalipa gharama chungu nzima kwenye makampuni ambayo hatuhitaji umeme wao.
Tutaendelea kuwa maskini kama tunawaachia wanasiasa wafanya maamuzi ya kufurahisha mabwana zao.
MASKINI TANZANIA NCHI YANGU....
...katika hili sina pingamizi kabisa.."Wanasiasa wanaendelea kuwa decision makers kwenye mambo ambayo ni too technical"
Pia sisi wenyewe kama Wenyenchi tunakubali kupelekwa - na hao wanasiasa.
Nikitoa mfano mmoja: kama siku 2 hivi nilisoma habari inasema "Save African's Flamingos - Campaigns kwenye thread hii, kweli nikawa nimevutiwa nayo sana na ikanitia uchungu sana. Nikajaribu kufuatilia wachangiaji, waliojitokeza walikuwa wachache sana, pia kibaya zaidi nilipotaka kujua mswaada unaendeleaje juu ya mjadala huo, thread hiyo sikuiona tena; ikiimanisha ilishaondolewa kwanye mjadala; sasa kweli kwa hali hiyo kunakitu tutakizuia hapo..ama tunakuja kuzungumzia kitu kilichokwisha tokea???? Ufisadi wa Kina AC, EL na wengineo.
Nikirejea kwenye maada husika, ukweli kwamba mambo ya kiufundi tumewaachia wanasiasa watuongoze:
Swala la ujenzi wa Kiwanda pale Ziwa Natron ni la kitaalamu sana kwani linayomadhara makubwa kwa Tanzania ya sasa na zaidi ile ya baadae, lakini watu tumelifumbia macho, baadae pakiharibika mbio kuja kupashana uhalibifu; jamani tuwe na moyo wa uzalendo, tupashane habari za kuzuia uhalifu wa nchi yetu:
Ukishangaa ya Tanesco na Madini sasa haya hapa ya Lake Natron:-
Lake Natron Resources Limited, a Company jointly Owned by the Government of Tanzania and TATA Chemical of Mumbai, India, proposes to develop a facility at Lake Natron to extract and process soda ash. As this proposal stands, it has the postential to damage or destroy the East African Lesser Flamingo population through disrupting the birds breeding at Lake Natron.
Naamini kabisa Income inayopatikana na itakayoendela kupatikana kwenye Utalii pale Ziwa Natron ni kubwa sana.. na haina madhara kama hii ya ujenzi wa Kiwanda:
Economic considerations
Wildlife tourism (or ecotourism) is the major source of tourist revenue in Tanzania. The country earned US$746 million from tourist receipts in 2004, supporting 200,000 direct jobs. The number of tourists visiting Tanzania is expected to grow from 580,000 in 2004 to one million by 2010.
Ecotourism at many protected areas in Tanzania, Kenya, Uganda and Ethiopia depends in part on the East African population of Lesser Flamingos.
Ecotourism at the southern end of Lake Natron generates US$500,000 per year in Tanzania and is a rapidly growing industry that relies on the pristine environment of Lake Natron to give ecotourists a "wilderness experience".
At the local level there is concern that there will be loss of livelihoods, land and natural resources to the project, and also indirectly to incomers seeking work.
Mtizamo Wangu: Foreign Companies need their profits and not for our future Tanzanian generations