Tanzania is planning to take their Mathematics teachers back to school

Teargas

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2021
Posts
21,849
Reaction score
24,773
This is because they don't understand most topics in mathematics hence resulting in students mass failure in mathematics exams.

Dar es Salaam. Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu.

Hatua hiyo ni baada ya Serikali kubaini kuwa kuna walimu hawamudu kufundisha baadhi ya mada katika somo hilo.

Pia ili kuboresha ufaulu wa somo hilo watachapa na kusambaza vitabu kwa wanafunzi wote wa sekondari, kuwatia moyo wanafunzi kupenda hesabu, kuhuisha na kuanzisha vituo vya kujifunza kwa walimu.

Hayo yalisemwa jana katika uzinduzi wa kampeni ‘KiuHisabati Ubungo’ iliyozinduliwa na mbunge wa jimbo la Ubungo ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo.

Kampeni hiyo ililenga kuhamasisha ufaulu wa somo hilo katika mitihani ya kitaifa, hususan kidato cha nne.

Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri wa Ofisi ya Rais (Tamisemi), Ummy Mwalimu alisema kuboresha elimu ya sekondari ni moja ya mikakati yao katika mwaka wa fedha 2021/2022.

Alisema katika mikakati hiyo, wanatarajia kufanya mambo manne, ikiwamo kutoa mafunzo kazini kwa walimu wote wa hesabu juu ya mbinu bora za ufundishaji somo hilo.

“Tutawafundisha mbinu bora za ufundishaji darasani na jinsi ya kuwasaidia wanafunzi wenye uelewa mdogo, tutachapa na kusambaza vitabu vya hesabu kwa wanafunzi wote wa sekondari ili kila mmoja awe na chake ili aweze kufanya mazoezi nje ya masomo,” alisema.

Alisema pia watafufua na kuanzisha vituo vya kujifunza vya walimu kuanzia ngazi ya tarafa na sehemu ambayo kata ni kubwa vitapelekwa huko, ili walimu wawe na sehemu ya kwenda kujifunza mada ngumu na kubadilishana mbinu za ufundishaji.

“Kuhamasisha wanafunzi kupenda hesabu pia ni moja ya mambo ambayo tutayafanya na tutaangalia namna ya kuwapa motisha walimu watakaokuwa wanafanya vizuri,” alisema Ummy na kuongeza kuwa Serikali imegundua kuwa wanafunzi wanafeli hesabu kwa mtazamo kuwa ni ngumu.
 
A Tanzanian teacher trying to teach a "very complicated additional concept" to a student.

IMG_20210421_150811.jpg
 
Hawa wenzetu huwa na shida sana, ila mfumo wao ulianza kuharibika tangu enzi za ujamaa, na imeshindikana kabisa kuboresha, huwa nawahurumia sana Watanzania ambao wamesomea nje na kurudi nyumbani, yaani unalazimika kuishi na kuvumilia ubumbumbu wa hali ya juu.
 
Wengi wao pia hawajui kusoma.
 
WANAFUNDISHWA mbinu za ufundishaji sio hesabu, hesabu hata mimi najua, kufundisha ndio sijui.
 
Wengi wao pia hawajui kusoma.

Yeah nakumbuka hiyo ripoti, yaani walimu wenyewe hovyo wanaishia kuvuruga wanafunzi, halafu mishahara ya walimu Tanzania huwa duni sana, mwendo wa umaskini uliopitiliza.
 
Hawa wenzetu huwa na shida sana, ila mfumo wao ulianza kuharibika tangu enzi za ujamaa, na imeshindikana kabisa kuboresha, huwa nawahurumia sana Watanzania ambao wamesomea nje na kurudi nyumbani, yaani unalazimika kuishi na kuvumilia ubumbumbu wa hali ya juu.
Ni kweli ujamaa umetuharibu watanzania kwa namna fulani, lakini hawa wenzetu wa Western World ni majuha haswa, tena haswa. Wana publisize uwongo kuhusu social commuty, lakini kuiishi hiyo social community yenyewe hawawezi. Wanacho kijali ni fedha na material things. Kwamba society yao inakufa taratibu, hilo hawalijui na wala hawataki kulitambua. Ni kitu na ukweli usio pingika kuwa mataifa yaliyo kuwa tajiri duniani yana tokomea.

Ni juha tu kama wewe ndiye ambaye hatataka kutambua ukweli wa mambo jinsi unavyo endelea. Amerika yako inakufa taratiiiiibu na England ndiyo iko kwenye ku-suffocate. Na nchi nyingine za Ulaya kama Ufaransa, Spain na Ureno zinaishi kwa nguvu za waamerika na umoja wao wa Ulaya, lakini wenyewe peke yao wamesha angamia. Ufaransa bado ina-hang kwenye uzi mwembambaaaa wa kutegemea ukoloni mambo leo kwenye makoloni yao.

Siku ambayo waamerika wata ziishi haki za kweli za binadam na kuamua kuwasaidia waafrika kujitoa kutoka kwenye kabali za wafaransa, tutawaona jinsi gani wafaransa watakavyo haha. Na Italy ndiyo kabisa imesha kuwa third World. Uzuri unao uona kwao ni magofu tu yale ya kale.

Janga la Corona nalo limewapa fundisho kubwa na zuri sana. Nafikiri sasa wanaanza slowlly ku-understand how the world works. Vitu ambavyo walifikiri ni vya maana vimetokea kuwa ni upuuzi. Na Yesu wao ambaye walimkana na kutusukumia sisi amekuwa mkombozi kwetu lakini kwao amebaki kuwa majuto ni mjukuu.

Sisi wenzio tulianza hivyo hivyo kwa mahesabu ya kusuasua. Lakini bidii humfanya mtu aerevuke. Kukaa na kupiga makelele ya mitandaoni na kujiona wewe ndiyo mwenye kujua vitu, usishangae umri utakapo kufikia na watu kukuita "Uncle Tom". Hapo utambue kuwa umeshakwisha kazi. Umebaki "Wreck".
 
Hawa wenzetu huwa na shida sana, ila mfumo wao ulianza kuharibika tangu enzi za ujamaa, na imeshindikana kabisa kuboresha, huwa nawahurumia sana Watanzania ambao wamesomea nje na kurudi nyumbani, yaani unalazimika kuishi na kuvumilia ubumbumbu wa hali ya juu.
Sikiliza hii clip pia ujue mengi zaidi.
 
This is because they don't understand most topics in mathematics hence resulting in students mass failure in mathematics exams.

Dar es Salaam. Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu.

Hatua hiyo ni baada ya Serikali kubaini kuwa kuna walimu hawamudu kufundisha baadhi ya mada katika somo hilo.

Pia ili kuboresha ufaulu wa somo hilo watachapa na kusambaza vitabu kwa wanafunzi wote wa sekondari, kuwatia moyo wanafunzi kupenda hesabu, kuhuisha na kuanzisha vituo vya kujifunza kwa walimu.

Hayo yalisemwa jana katika uzinduzi wa kampeni ‘KiuHisabati Ubungo’ iliyozinduliwa na mbunge wa jimbo la Ubungo ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo.

Kampeni hiyo ililenga kuhamasisha ufaulu wa somo hilo katika mitihani ya kitaifa, hususan kidato cha nne.

Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri wa Ofisi ya Rais (Tamisemi), Ummy Mwalimu alisema kuboresha elimu ya sekondari ni moja ya mikakati yao katika mwaka wa fedha 2021/2022.

Alisema katika mikakati hiyo, wanatarajia kufanya mambo manne, ikiwamo kutoa mafunzo kazini kwa walimu wote wa hesabu juu ya mbinu bora za ufundishaji somo hilo.

“Tutawafundisha mbinu bora za ufundishaji darasani na jinsi ya kuwasaidia wanafunzi wenye uelewa mdogo, tutachapa na kusambaza vitabu vya hesabu kwa wanafunzi wote wa sekondari ili kila mmoja awe na chake ili aweze kufanya mazoezi nje ya masomo,” alisema.

Alisema pia watafufua na kuanzisha vituo vya kujifunza vya walimu kuanzia ngazi ya tarafa na sehemu ambayo kata ni kubwa vitapelekwa huko, ili walimu wawe na sehemu ya kwenda kujifunza mada ngumu na kubadilishana mbinu za ufundishaji.

“Kuhamasisha wanafunzi kupenda hesabu pia ni moja ya mambo ambayo tutayafanya na tutaangalia namna ya kuwapa motisha walimu watakaokuwa wanafanya vizuri,” alisema Ummy na kuongeza kuwa Serikali imegundua kuwa wanafunzi wanafeli hesabu kwa mtazamo kuwa ni ngumu.
Kweli aisee huna akili mafunzo ni kitu cha kawaida Kwa Kada yoyote ili kuongeza ujuzi Kwa sababu maarifa mapya yanazaliwa kila siku.dah we jamaa hunaga akili
 
Na unajua kabisa Tanzania ni nchi yenye mainginia wengi kuliko nchi yoyote afrika mashariki na msingi wa sayansi ni hesabu
 
A Tanzanian teacher trying to teach a "very complicated additional concept" to a student.

View attachment 1761284
Desperate guys

You are very desperate

Ineed it is a good move to do refresher courses to all teachers

And btw, no country can claim that their maths teachers wako vizuri... Tatizo mnajaribu Sana kitafuta cheap token kujifurahisha

We are progressing very well
 
Back
Top Bottom