Tanzania is proving to be a liability in EA integration

Tanzania do want intergration with sister countries, but we dont want to be forced in this intergration if it has no benefit for Tanzanians i wonder why Kenyans are so speedy on this, why don't you form or intergrate with Your neighbour Somalia if you think Tanzania is the cause this situation.So far we know our brothers especially Kenyans.
 
Last edited:

KSV, the answe is simple and clear. There is nothing they can gain from Somalia, there is not much they can gain from Uganda and Ugandans are a bit smarter than people here in TZ. There is much more for Kenya to gain from Tanzanias huge market and employment opportunities. Angalia sasa wameanza hata kununua magazeti ya Tanzania, wataingia kwenye radio na soon tutaanza kuwasikiliza wakenya kwenye radio zetu. Tafuta takwimu ujua nani investor mkubwa Tanzania kama sio Kenya.
 

.....support that with facts not your BS as usual!
 
....ngoja watutose tuu labda tutajifunza kitu,hivi tunapata faida gani ya kukataa simple ID to cross borders?..watanzania wangapi wana passport? mawazo ya zamani kweli kweli!

Nini passport, hata hizo ID zenyewe Watized tunazo?!. Labda kama tutatumia kadi za kupigia kura ambazo-pia ni wachache wanazo. Suala na vitambulisho vya kitaifa linaeleweka. Wenzetu Wakenya wanavyo!.
 
..champions wengi wa ile duo citizenship topic wengi wao hapa hawataki ushirikiano wa EA kwa reason zile zile ambazo ant duo walikuwa wakizitoa kukataa,kule wanasema tunataka duo hapa hatutaki ushirikiano wa EA,wengi wanadai ardhi ndio tatizo lakini cha ajabu hata sheria za ardhi hawajui na cha ajabu hata sasa yeyote anaweza kumiliki ardhi hata kama sio mtanzania lakini hawasemi kama ni tatizo...sijui kama wanajua Tanzania ardhi ni mali ya serikali na unakodishwa tuu hata kama ni raia!
 

oyaa jitayarishe kwa kipigo cha kesho.....Chambliss all the way.....atashinda 56%-44 %
 
oyaa jitayarishe kwa kipigo cha kesho.....Chambliss all the way.....atashinda 56%-44 %

...chukueni tuu its a red red red state and your boy chambliss was supposed to win by double digit lakini ona sasa,mtaishia kuwa cheerleader wa obama tuu maana bila hivyo mtakuwa obsolete,usalama wenu ni kumsupport Obama maana hamna power yeyote na hakuna hata legislation moja itatoka republican for the next 16 yrs kama sio forever,paper umeshapata? au uansubiri Obama akusaidie...atakusaidia tuu hana roho mbaya!
 
How can we trust Kenyans? oh sorry Kikuyus? Maana wapiga kelele wote wa EAC ni kikuyus, wamemaliza kwao hadi ujaluoni sasa wanataka huku pia;

When you read Kenyans frustration and comments, inakupa picha ya jamaa well off akimtamani mwali maskini lakini aliye bora zaidi mwenye limited upeo with full potentials

No to Integration, let them start and we will apply to join if it works
 
Jambo la kushangaza hapa ni kwa wenzetu kufikiri sisi hatutaki ushirikiano, sisi ni wavivu wa kufikiri na tuko slow. Vile vile kwamba sisi ni masikini.Ninachoomba wajue, sisi ni watu makini sana. Tunajaribu kuwa waangarifu, jirani zetu hawa wenye akili tunawafahamu, tunawapa nafasi wajiulize sababu zilizo sababisha jumuia ya awali kuvunjika. Wakati walikuwa na haraka kuvunja hiyo jumuia mwaka 77 sisi tulikuwa taratibu tukiwasihi wasifanye hivyo.Leo hii, kwa umakini uleule, wakati wana haraka ya kuanzisha jumuia nyingine, tunawasihi tena wawe wataratibu tusijerudia makosa yale yale.

Unawezaje kwa sasa, kuungana na Kenya yenye serekali ya mpito, yenye ukabila uliopindukia,Uganda yenye vita isiyo kwisha na ambayo,Rais alivunja katiba ili aendelee kutawala. Rwanda inayopora jirani yake na ambayo baadhi viongozi wake wanatakiwa na mahakama ya kimataifa. Burundi yenye hali ya kisiasi isiyo tabirika?!

Wakenya hawaaminiki, wakati tunazisaidia nchi za kusini mwa Afrika zijikomboe wao walikuwa upande mwingine,wakiwahujumu waafrika wenzao! ni hawa hawa waliokuwa wanautangazia ulimwengu kwamba mlima Kilimanjaro mali yao . Waziri wao alikiri.Hatutatakuwa na haraka, wanaweza kutangulia, tutajiunga nao kwa wakati tutakao ona unafaaa.

Jirani zetu wanapenda sana kujisifu, siku nyingine watautangazia ulimwengu kuwa masikini wanaolala kwenye nyumba za makaratasi, na hawana uwezo wa kununua hata fungu moja la sukuma wiki, kule Mathare valley ni bora kuliko masikini wetu wa Tandale na Manzese.Na pengine wanaweza kusema kuwa ni wakimbizi kutoka Tanga.
 

Mathare, Kibera etc!!!
Nchi iliyojaa ukabila, mi nadhani sio vizuri kuwa na papara ktk hili. Kama kweli tunahitaji kuungana inatubidi tufikirie na tuamue kwa busara!! Tanzania is not yet ready for the intergration!

Wakenya inawauma sana kwani wanaitamani sana ardhi ya Caanan(Tanzania) maana kwao ukabila umesababisha hata ardi iwe ni kwa watu wa kabila flani na wanaotambulika tu!!!!

Kama ni biashara mbona bidhaa nyingi sana ziko Tz kutoka kenya?? Maji ya keringet yanauzwa Arusha wakati maji ya Kilimanjaro huwezi kuyapata hata 1km from Namanga???? Kitu nilichowahi kukiona hapa kimetoka na wala sio TZ ni Ice cream za Azam!!!!!! funny but thats the painful truth!!! Ubinafsi umeitawala hii nchi ya Kenya!!
 
Friends,
1. Did you know that Tanzanians actually live longer (Life Expectance- LE) than Kenyans? LE is one of best indicators of human development.

Kenya: Life expectancy: 48 years (men), 46 years (women) (UN)

Tanzania: Life expectancy: 51 years (men), 54 years (women) (UN)

Kwa kigezo hiki Tanzania tumeendelea zaidi ya Kenya. Pengine wanatuzidi kwa Kiingereza: ila sijui kama lugha tu ya Kiingereza is a good indicator of human development- na sisi si tunawazidi kwa Kiswahili kizuri ndugu zangu?

2.Halafu ktk Sayansi- Tanzanians are ahead in EA in scientific contribution in journals compared to Kenyans! Hata ukiwauliza wanataaluma na wanasayansi wa Kenya- hili wanakubaliana nalo!

3. Land
Did you know that the area (land mass) of Tz is very large (945,087 sq km)? If you take the areas of Kenya (582,646 sq km), Uganda (241,038 sq km), Rwanda (26,338 sq km) and Burundi (27,816 sq km) put together- (877,838 sq km) yet the area of Tz is still large.

So guys our neighbours are coming to look for opportunities in Tz- they have more to gain from us than what we can gain from them.

We need to be careful not to rush into integration.
Mambo ya fasta, fasta wandugu mimi sikubaliani nayo. One question- why rush tena fasta fasta?
 
Waachane na E.A.COMMUNITY alafu kinachowafanya walalamike ni nini?
Walishajua wangekula bingo apa Tz.
Piga chini E.A. bse bado hatuna viongozi wazalendo wa kutupeleka uko.
After all kuna jumuiya kubwa zaidi ya hiyo atleast iyo kwetu itasound si unajua.
Nyerere alisema viinchi vidogo vidogo vikiungana ndo vyaweza kuwa na say and not otherwise.
 
http://www.nation.co.ke/oped/...4/-/index.html
By GITAU WARIGI
Posted Saturday,
November 29 2008 at 15:12

Fikra zangu zinanirudisha mbali nikiwa kwenye halaiki tukiwa tunaimba ule wimbo maarufu yenye Uzalendo uliotukuka... 'Tanzania*2 nchi yenye mali nyingi watu wengi wa ulaya zinaililia sana'... Mara namuona Mhe. Spika akiomba dua za Kufungua Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania... 'Ewe mola wetu tukinge na Maadui wenye kuionea Jamhuri yetu kwa jicho la husda!!!'

Ninyi Majirani zetu Wakenya na Waganda; Tanzania itaendelea kuwa ya Watanzania tu pamoja na umaskini wetu ulio kithiri, umbumbu wa viongozi wetu n.k lakini kamwe hatutakubali kuburutwa na vibaraka wa walowezi! kamwe...
 


Mzalendohalisi kula kumi zote Mkuu
Yaani leo kikao na hawa jamaa hakikaliki, wamenichosha kusema eti hatujui kiingereza wakati kama ni kichina, kifaransa, kijerumani, kireno na kispaniola wote tunajifunza na bado Watanzania tunafukuza upepo? Nondo za leo zimepangwa maridhawa
 
Kenya is a time bomb fuelled by tribalism.Just think of how the murdered each other after their last general election.

These are the same people who will go after everything we have in the name of cooperation.

They want to get in our country in numbers and start preaching hatred and tribalism.

I still remember back in the Nyerere days when their police confisticated my passport and gave me a hard time simply because I happen to be a Tanzanian. Nyang'au hawa!
 
Ujumbe kwa Viongozi wa Tanzania,

Kama Kenya na Uganda wanaona uharaka wa huo muungano, basi wafanye wao kwanza. Tutawaunga mkono huko mbeleni, kwani mbona Marekani waliungana pole pole? Kwa vile Tanzania ni kikwazo kwao, basi waiache peke yake.
 
Ujumbe kwa Viongozi wa Tanzania,

Kama Kenya na Uganda wanaona uharaka wa huo muungano, basi wafanye wao kwanza. Tutawaunga mkono huko mbeleni, kwani mbona Marekani waliungana pole pole? Kwa vile Tanzania ni kikwazo kwao, basi waiache peke yake.

Mkuu Kichuguu,

Umenena, kama wana haraka watangulie sie ado ado haina presha hii. Hata waingereza kwenye single currency wana play the same game wait and see....
 
Kwanza violent crime iko juu sana Kenya ukilinganisha na Tanzania. Halafu, ardhi yenye rutuba Kenya iko mikononi mwa watu wachache sana, waliobaki ni masikini tu. Bora masikini wa Tanzania anakuwa na ardhi ya kumtosheleza mahitaji yake ya kila siku, japo kwa uchache. Masikini wa Kenya ni wa kila kitu, mpaka ardhi.

Halafu hawa jamaa ni majambazi wa kutupwa, hatuwataki. Wizi wote mkubwa uliofanyika kwenye mabenki ya Tanzania miaka ya karibuni, waliochora ramani walikuwa Wakenya!

Tangu lini tajiri akambembeleza masikini washirikiane? Ilitakiwa sisi masikini ndio tuwabembeleze wao. Kama wana haraka waendelee tu na muungano wao na Rwanda na Burundi na Uganda. Sisi hatuna presha!

Complementary:- Halafu hata kwa wanawake wazuri tumewazidi pia....🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…