joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kipindi kile kelele na majigambo vilikua vingi wakati miradi yote ikielekea kufa kabla ya kufika mwisho.We crushing them bt to be honest naona kasi imeshuka...ile amsha amsha ya projects ni kama imepungua km sio kufa kabisa...
Bado Hawa ni wetu, joto la 2024 na 2025 likipita hawa tunawakarakasha pindua miguu juu kichwa chini. Watakufa tartibu na mabwana zao UK na usWe crushing them bt to be honest naona kasi imeshuka...ile amsha amsha ya projects ni kama imepungua km sio kufa kabisa...