Tanzania is the beautiful place in the World

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Serengeti imetangazwa tena kuwa ndio sehemu pekee inayoongoza kwa kuwa mbuga bora duniani.

Baada ya hiyo habari pia nikumbushe CNN walishawahi kuitangaza Tanzania kuwa ndio nchi yenye Beach bora duniani

Jamani Tanzania is beautiful wakenya sijui mnakwama wapi duh
 
Watu tunaoishi tukiwa tumezungukwa na matofali ya almasi yenye tani laki moja moja (100000 tonnes), huku sisi wenyewe tukiwa tunadhani kuwa ni miamba. Mtu mmoja alikuwa kila mara anakaa anasema, "this country is supposed to be a donor country!"
 
Hehehe!! Hilo swali ilipaswa uulize Watanzania wenzio wapi mnakwama, weje muwe na mbuga nzur kuzidi zote duniani, madini ya kumwaga na kila kitu ila umaskini umetamalaki kote kwenu huko, mnashindwa kiuchumi na kainchi kadogo kama Kenya........
 
Sure
 
Unasema Tanzania ni masikini wakati thamani ya miradi tunayofanya ni mara tatu ya miradi yenu
 
Unasema Tanzania ni masikini wakati thamani ya miradi tunayofanya ni mara tatu ya miradi yenu

Uchumi wetu tayari upo mara mbili ya uchumi wenu ilhali mkiwa na raslimali kama zote zaidi ya mataifa yote Afrika, kama sio uzembe sijui mlilaanwa nini haswa, siku zote nilijua CCM ndio ilikua inawachelewesha, akaja Magufuli ambaye hakua anaegemea kwenye CCM ila naye akaboronga balaa kwa miradi isiyokua na tija kama uwanja wa Chato ambao wakaazi wanaomba watumie kuanika mpunga.
 
Hehehe!! Hilo swali ilipaswa uulize Watanzania wenzio wapi mnakwama, weje muwe na mbuga nzur kuzidi zote duniani, madini ya kumwaga na kila kitu ila umaskini umetamalaki kote kwenu huko, mnashindwa kiuchumi na kainchi kadogo kama Kenya........
Kipimo kizuri cha umasikini ni nini? GDP au PPP? Embu leta data za Kenya na Tz kwenye hivi vipimo viwili halafu tujadili.
 
Nchi ni bora ila watu wake sasa ndio chenga
 
Mmh chief Acha uongo [emoji3] kwahyo TZ ina rasilimali kuliko nchi zote Africa.......Mpaka DRC sio ....
 
Mmh chief Acha uongo [emoji3] kwahyo TZ ina rasilimali kuliko nchi zote Africa.......Mpaka DRC sio ....

DRC hao wanaoitegemea Tanzania kwa bandari, hawana hata visiwa.....mjitafakari sana nani kawaroga.
 
DRC hao wanaoitegemea Tanzania kwa bandari, hawana hata visiwa.....mjitafakari sana nani kawaroga.
Kwan bandari NI rasilimali?.....anyway hakuna nchi hapa Africa yenye rasilimali nyingi km DRC
 
Nothing beats Tanzania katika vivutio vya utalii hapa Afrika, I think South Africa comes second.
 
Funny enough,you are consumed like harlots!😝😝😝😝😝
 
"Tanzania have the Most Beautiful Long Double stuck Bullet Train in The world"I have Never ever seenπŸ™ˆI shall definitely Come to Tour😁😁😁
 
Kwan bandari NI rasilimali?.....anyway hakuna nchi hapa Africa yenye rasilimali nyingi km DRC

Katafute nini maana ya neno "raslimali" maana naona unabishia tu bila ufahamu, bahari ya Tanzania imewezesha bandari yenu itegemewe na mataifa tisa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…