Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha.
chondechonde tusiingie kwenye mtego huu.
Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi na muda mwingine kisiasa.
Kamwe tusiruhusu ujinga huu.Utawaangamiza maskini wengi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!