Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

Tunapenda Rais Samia asipate changamoto kubwa katika kupambana na CHADEMA pamoja na wanasiasa wengine uchwara wa upinzani.
Tanzania ya Samia inapendeza na kuwaka kila kona kwa maana huyu mama ni mwanadiplomasia mzuri sana.
 
Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Samia na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.
 
Tanzania ina makabila 5? Kwa nini hayo!?
 
Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.

Ndiyo:

1. Kushauriwa asirudishe watu kwenye ukuu wa Mkoa, hakusikia baada ya mda mfupi akatengua.....

2. Hemu na wewe ongeza kingine....
 
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Samia na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.
Mabeberu na mafisadi yameanza kumpigia Rais samia magoti. Tuliwaonya Samia hajaribiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…