Rose Gabriella JF-Expert Member Joined Oct 17, 2020 Posts 603 Reaction score 583 Jun 20, 2021 #401 Tall Msafi said: Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA. Click to expand... Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu.
Tall Msafi said: Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA. Click to expand... Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu.
Kisoda James JF-Expert Member Joined Jun 11, 2020 Posts 1,114 Reaction score 813 Jun 20, 2021 #402 Anna-Gabriella said: Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu. Click to expand... Rais Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.
Anna-Gabriella said: Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu. Click to expand... Rais Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.
Nyamambara JF-Expert Member Joined Jan 11, 2021 Posts 407 Reaction score 330 Jun 21, 2021 #403 Kisoda James said: Rais Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa. Click to expand... Shauri yao Chadema, sisi Watanzania wote 2025 tupo na Rais Samia tu, wala hatutegemei Wazungu watupigie kura.
Kisoda James said: Rais Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa. Click to expand... Shauri yao Chadema, sisi Watanzania wote 2025 tupo na Rais Samia tu, wala hatutegemei Wazungu watupigie kura.
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,341 Jun 21, 2021 #404 Hivi vazi la Tanzania ni lipi?