Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Dhahabu ina umuhimu wake yaani kila moja inamatumizi yakeTanzania ndio nchi pekee kanda ya ziwa kuna madini mengi ya shaba ila wamekazana nankutafuta dhahabu.
Kama tuko serious tunatakiwa tuwe na smelter ya steelNaunga mkono Kampeni. Ludewa kuna makaa ya mawe, kuna chuma pia kuna mto Ruhuhu unaoweza kuzalisha karibu MW 300. Ukiwekeza hapo utamaliza shida zote za chuma na utakipata kwa bei cheap sana. Maana makaa, ore na umeme vipo tu hapo hapo. Imagine China ananunua ore Australia na Brazil. Anasafirisha hadi China kutengeneza chuma na steel. Kisha anasafirisha kuja kutuuzia sisi.