Tanzania itakombolewa na wanafunzi

Tanzania itakombolewa na wanafunzi

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
82
Wanafunzi wamekuwa wakigoma kuonyesha udhalimu wa serikali na viongozi wake.sasa nimefurahi kuona hata jumuiya ya wafanyakazi waajiriwa wamelianzisha .huu ndo mwanzo wa mwisho wa umasikini wa kimawazo ya woga.asanteni sana mdakitari wengine mnaogopa nini?
 
Back
Top Bottom