Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

Cape Verde wakija Dar watakuwa well displined. Watajilinda na kufanya surprise counter attacks.
Kiburi cha kuwa kwetu na kutaka ushindi kwa gharama yoyote, tutaacha mapengo nyuma na watakuwa tayari kuyatumia vilivyo. Wanao wachezaji wenye uwezo huo.
 
Weka na kikosi cha Uganda Cranes kilichowapiga hukohuko kwao.

Vv
 
Wala si kucheza nje sio Tija,Tija ni kua serious na kila kazi unayoifanya.Mbona hawahawa Cape verde walitandikwa goli 1 kwa 0 na Mganda nyumban kwake??Tatizo Tz wana maneno mengi kwenye kila kitu bila kua na mipango.Tz hatuez kufuzu Afcon kwa namna yyt ile kipindi hiki.Na nakuunga mkono,J4 tukipambana sana tunaambulia sare hiyo game Lakini hawaJamaa hatuwezi kuwafunga kwa mpira wetu wa hovyohovyo,Labda tuwafunge KAMBA
 
Cape Verde hawakupewa heshima wanayostahili na Tz, ndio maana wakatuburuza. Na ndio kinachotokea tena kesho.
 
Kuanzia mwaka 2000 mpaka sasa sio miaka 10 ni 18
 
Sina la kuongeza mjomba , sana sana sitaenda uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…