Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Wataona bwawa tuUkitekwa unaaza kulia na familia yako inaaza kuomba msaada [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataona bwawa tuUkitekwa unaaza kulia na familia yako inaaza kuomba msaada [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwenye hilo bwawa wewe utakuwa unaeleaWataona bwawa tu
Wao watakuwa wamezamaKwenye hilo bwawa wewe utakuwa unaelea
Hutaweza kuwaona maana utakuwa huna machoWao watakuwa wamezama
Tutawajua kwa kauli zenuUkitekwa unaaza kulia na familia yako inaaza kuomba msaada [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Soka halichezwi mdomoni mkuuMWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67
Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini
KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA
1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril
AISHI MANULA
Simba
2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani
2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia
3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league
3.Gadiel michael
Yanga
4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno
4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi
5:AGREY
AZAM FC
6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi
6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL
7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno
7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt
8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA
8:MUDATHIRI
AZAM
9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE
9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN
10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA
10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE
11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno
11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco
hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???
Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,
Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza
Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*
England Mkuu hakuna kitu ni kelele tu za media ndio mana wakiingia kwenye ground wanakula kichapo kama mbwa mwizi...wale ni kelele tu mpira HAKUNAmafanikio ya team yoyote ya taifa ni muendelezo wa team za vijana ,waangalie leo England wanatimu bora za .Hawa wanakuja kuchukua nafasi kwenye National Team,leo hii Ujerumani tutaanza kuawasahau kwenye mpira naona accademy zao haziotoi vijana wazuri wenye caliber ya Ozil,Boateng ...
Sisi tunao hawa watoto wa U17 Serengeti boys tuweke juhudi hapa watoto watafutiwe nafasi nje kuna vipaji vya hali ya juu,kuna viungo pale waupiga mwingi,kuna striker pale anaitea Kelvin John level ya dunia ..baada ya hapo sasa tutakua na team bora kabisa Africa
Kweli mchambuziCape Verde wakija Dar watakuwa well displined. Watajilinda na kufanya surprise counter attacks.
Kiburi cha kuwa kwetu na kutaka ushindi kwa gharama yoyote, tutaacha mapengo nyuma na watakuwa tayari kuyatumia vilivyo. Wanao wachezaji wenye uwezo huo.
Uzalendo muhimuMkuu tunashinda njaaa?
Yap Samata ni AssistGoli limefungwa na msuvaa
Kabisaaa niliona kama hujamtendea hakiYap Samata ni Assist