Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

Hahahaaaa. Sawa Mkuu.

Ila ngoja hizo game mbili zipite kwanza ikitokea kimeeleweka basi ntaanza kuungana nanyi ukielekea Cameroon. 😀😀😀
hahahha trust me, you will be next to me kwenye dreamliner kuelekea kubeba ubingwa sasa.
 
Hahahaa. Ila kwa timu hii tuwaze ndoa tu la watoto tuliache kwanza. 😂😂😂😂😂

Mkuu hapo kwenye red naona unaweka maneno ya kukukinga eee.
hahahahhahhahahahahha mkuu hata field martial vitani anavaa bullet proof na silaha kem kem sembuse mimi?

tukutane mechi zijazo maana yajayo yanafurahisha
 
Duuh! Pole sana.

Mie Alhamdulillah uzima upo ndio maana nipo jf nachokozana na watu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Binamu jana hukuwa na uhakika kama tungeshinda
 
Hahahaaaa. Sawa Mkuu.

Ila ngoja hizo game mbili zipite kwanza ikitokea kimeeleweka basi ntaanza kuungana nanyi ukielekea Cameroon. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mm nataka nikununulie na Jersey ya taifa stars naomba uchague namba ngapi unapendelea?
 
MWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67

Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini

KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA

1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril

AISHI MANULA
Simba

2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani

2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia

3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league

3.Gadiel michael
Yanga

4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno

4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi

5:AGREY
AZAM FC

6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi

6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL

7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno

7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt

8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA

8:MUDATHIRI
AZAM

9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE

9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN

10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA

10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE

11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno

11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco

hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???

Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,

Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza

Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*
ENDELEA NA PESSIMISM YAKO LAKINI VIJANA WAMEMCHANA MTU
 
Back
Top Bottom