Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina la kuongeza mjomba , sana sana sitaenda uwanjaniMWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67
Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini
KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA
1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril
AISHI MANULA
Simba
2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani
2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia
3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league
3.Gadiel michael
Yanga
4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno
4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi
5:AGREY
AZAM FC
6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi
6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL
7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno
7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt
8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA
8:MUDATHIRI
AZAM
9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE
9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN
10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA
10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE
11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno
11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco
hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???
Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,
Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza
Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*
Iwe chini ya CCM kama kama ilivyo UVCCMCCM iwafundishe Taifa Stars mbinu za ushindi
😳😳😳Hahahahaaaaa. Na kweli Mkuu.
Huwezi sema uzalendo wakati Timu yenyewe mbovu. Ila mie sina timu kesho.
Mkuu tunashinda njaaa?Leo huenda tukashinda
Uwe na Imani mkuu japo tumekosa penati lakini Leo huenda tukashinda mkuuMkuu tunashinda njaaa?
GoalUwe na Imani mkuu japo tumekosa penati lakini Leo huenda tukashinda mkuu
Tunaongoza moja Pasi ya SamataJamani mm ni mkimbizi kutoka cape Verde ngapi ngapi huko?
Ukitekwa unaaza kulia na familia yako inaaza kuomba msaada [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hili goli moja sijui limetokea wapi! Mungu wasaidie Cape Verde
Goli limefungwa na msuvaaTunaongoza moja Pasi ya Samata