Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

Dah...tukubali tutakatae...twende mbele turudi nyuma....Bila Lowassa jana tungepigwa 3 mzuka tena....😎😎😎
 
Hili napingana nalo, kwenye soka hakuna kitu kama hicho, angalia Madrid ya akina Figo, Raul, Ronaldo, Beckham hawakuchukua uefa aisee,
Wao wawe committed na game tuu
Waliuchukua ujumbe wako na kufanikiwa aise.Vijana walikuwa wanajituma sana CAPE ni wazuri sana mbele kwenye kushambulia
 
Wala si kucheza nje sio Tija,Tija ni kua serious na kila kazi unayoifanya.Mbona hawahawa Cape verde walitandikwa goli 1 kwa 0 na Mganda nyumban kwake??Tatizo Tz wana maneno mengi kwenye kila kitu bila kua na mipango.Tz hatuez kufuzu Afcon kwa namna yyt ile kipindi hiki.Na nakuunga mkono,J4 tukipambana sana tunaambulia sare hiyo game Lakini hawaJamaa hatuwezi kuwafunga kwa mpira wetu wa hovyohovyo,Labda tuwafunge KAMBA
[emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom